Makamu Mwenyekiti wa JUKE Taifa, Kiza Mayeye aliteka Jimbo la Kigoma Vijijini

CUF Habari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
239
Reaction score
234

HABARI Makamo Mwenyekiti wa JUKE TAIFA Mhe. Kiza Mayeye aendelea na Ziara yake ya Ujenzi wa Chama Katika Jimbo la Kigoma Vijijini.

Atembelea kata kwa Kata Katika Jimbo Hilo na kufungua matawi na kutoka kadi kwa wanachama wapya wa CUF.

Pia, Mhe. Miza Mayeye Ndiye Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Vijijini Kupitia CUF Chama Cha Wananchi
 
Kigoma hatuna jimbo linaloitwa kigoma Vijijini -Rekebisha hapo labda kigoma kaskazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…