Uchaguzi 2020 Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri awataka wanasiasa wanadi Sera badala ya kupambana na Vyombo vya Habari

Uzuri kwa sasa wapinzani wanatumia mitandao na kuingia field. Huyo Balile ajue watu wa kizazi hiki hawababaiki na magazeti na TV zenye story za kizee.
Mkitaka matusi tumieni tu vyombo vyenu ili mradi msije mkailaumu serikali vikipigwa ban.
 
Kizazi hiki bado kuna mtu anasoma gazeti?
Idadi yao ni ndogo sana, haina athari kwenye habari za Lussu
Vijijini taarifa wanapata kupitia luninga na magazeti..hawana smartphones wengi tu na wala hawana bando za kuweka kwa ajili ya internet.
 
Mkitaka matusi tumieni tu vyombo vyenu ili mradi msije mkailaumu serikali vikipigwa ban.

Mnachekesha kweli, eti matusi halafu mwenye tafsiri ya matusi ni Magufuli. Pale utashi wa rais unapogeuka kuwa tafsiri ya matusi.
 
Mzee baba aliposema "watch out your not free Kama mnavodhani" alijitokeza na kauli gani??
 
Toka 2000 alishajiunga kunako juhudi.
Kwa anaetaraji Baalile aandike au asemee habari za upinzani pole yake.
Hapana huyo ameunga mkono juzi juzi tu,kipindi cha kikwete alikuwa anatema nondo balaa za kuichana ccm,baada ya kuingia JIWE kanga mkono Juhudi kama alivyounga Nasari Kimya kimya.
 
Azam walikuwa wanamreport lissu ghafla wakastop na kufuta post zote za lissu kwahiyo huo ndio uhuru wa habari? Umesoma taarifa ya kigogo iliyotoa maelekezo kwa vyombo vya habar kuhsu kupiga matangazo ya kampeni ya ccm?
 
Huyu ni tapeli tu alikuwa hajui kama Lissu anaenda Iringa?
 
Azam walikuwa wanamreport lissu ghafla wakastop na kufuta post zote za lissu kwahiyo huo ndio uhuru wa habari? Umesoma taarifa ya kigogo iliyotoa maelekezo kwa vyombo vya habar kuhsu kupiga matangazo ya kampeni ya ccm?
Social media zinatutosha kabisa
 
Azam walikuwa wanamreport lissu ghafla wakastop na kufuta post zote za lissu kwahiyo huo ndio uhuru wa habari? Umesoma taarifa ya kigogo iliyotoa maelekezo kwa vyombo vya habar kuhsu kupiga matangazo ya kampeni ya ccm?
Na nikufaamishe tu kuwa ata marekani vyombo vya habari vimegawanyika,trump kila leo anawalalamikia chombo fulani cha habari.
 
Uzuri kwa sasa wapinzani wanatumia mitandao na kuingia field. Huyo Balile ajue watu wa kizazi hiki hawababaiki na magazeti na TV zenye story za kizee.
Nakazia hapa
 
Wameshakuwa wachumia tumbo hao waache kabisa kujiita vyombo vya habari au wajiite Vyombo vya habari UCHWARA.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…