Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga Clement Sanga ajiuzulu

Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga Clement Sanga ajiuzulu

Yanga Haina matatizo meng Kama watu wanavozan tatizo pekee ndan ya Yanga n ukata ukata Bhas penye pesa kila kitu Huwa Sawa
 
Penye njaa nani huwa anabaki? Baba wanakimbiaga hata familia zao, sembuse yanga uliyoikuta.
 
Ila kutaka kwenda na mapanga sio poa kabisa..tuwaite Mapanga FC[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Wamekwenda na mapanga tu???!!! wamesahau mishale, upinde, marungu, mawe na mashoka??!!!
 
Back
Top Bottom