Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,933
Serikali ya samaki ? Haiwezi kusema kitu.Chura anasemaje?
Dracula.Awamu hii asijichanganyee yyt mtaliwa nyamaaaaa...View attachment 3324445
kama makamu wa raisi hana la kufanya -- hali itakuwa vipi sasaNikimtazama huyu mzee, namuona kabisa anaumizwa na matendo maovu yanayo tokea. Sema basi tu hana lakufanya na ndio maana amesha jiamulia akapumzuke.
Ameponea chupu chupu,, almanusra wangempoteza. Amefanya uamuzi bora wa kuchagua haki.Nikimtazama huyu mzee, namuona kabisa anaumizwa na matendo maovu yanayo tokea. Sema basi tu hana lakufanya na ndio maana amesha jiamulia akapumzuke.
Tunamshukuru huyu naibu wa Rais kutoka hadharani na 'kunawa' kuonesha Serikali imelipokea.Hata kwa mzee Kibao walisema hivi hivi na bado hakuna hatua iliyochukuliwa
Rudi kwenu kenya, *** weweTunamshukuru huyu naibu wa Rais kutoka hadharani na 'kunawa' kuonesha Serikali imelipokea.
Tunabakia sasa kuukodolea uwajibikaji wa mnyororo wa kiuongozi wa Serikali nzima kwa mambo yote ya hovyo inayoendelea kuyatenda ama kutuhumiwa nayo dhidi ya wananchi wake!
Je safari hii itaweza kujikaanga kwa mafuta yake yenyewe kama sangara kwa kuwatoa kafara wahusika halisi?
Hatutaki kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa kama ilivyoanza kuonesha kuzoa zoa wateja wa 'canteen' na kuwabambikia ili kukimbiza wahusika halisi watokomee mbali!
Kwa namna dola ilivyo na vyombo toshelevu vya kiulinzi na usalama, jambo lolote, narudia, jambo lolote la hovyo haliwezi kutendwa na likashindikana kupatikana mhusika wake.
Tukiona tena ukimya unaendelea katika tukio hili, hata kwa muda mfupi tu wa wiki moja bila matokeo chanya ya kiuchunguzi, sisi tutaendelea kuongeza vipande vya nyama katika spoke ya mshikaki wa tuhuma za matukio ya mauji ya kidola yanayofanywa na Serikali kunyamazisha wapinzani na wakosoaji wake.
Kwanza baada ya tamko hili, Waziri wa mabo ya ndani kasemaje?
Kabisa mkuuKausoma mchezo mapema sana
Hata kwa mzee Kibao walisema hivi hivi na hadi sasa hakuna hatua iliyochukuliwa
Shambulio la Lissu Dodoma kwenye makazi ya viongozi area D hakuna mtu hata mmoja amewahi kuhojiwa na Police juu ya tukioHata kwa mzee Kibao walisema hivi hivi na hadi sasa hakuna hatua iliyochukuliwa
*** babako alokukojoa!Rudi kwenu kenya, *** wewe