Makamu Rais Dkt Mpango: Waliohusika Na Shambilio Dhidi Ya Padri Kitima Wachukuliwe Hatua.

Nikimtazama huyu mzee, namuona kabisa anaumizwa na matendo maovu yanayo tokea. Sema basi tu hana lakufanya na ndio maana amesha jiamulia akapumzuke.
,
 
Kwanza watajwe kisha ndio wachukuliwe hatua.

Hawajulikani unachukuaje hatua?

Tuvunje muungano kila mmoja akae kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…