TANZIA Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad afariki dunia

Pumzika kwa amani Mzee wetu Maalim Seif Sharif Hamad, kazi uliifanya na mwendo umeumaliza! Ee Mola mpokee na kumuweka mcha wako mahali pema.
 
Kifo cha maalim hakitokani na Covid-19 bali kimetokana na safari yake na mwenzake walioifanya kwa njia mbili tofauti kuelekea nyumbani kwa raia namba moja. Decision from room 105 resulted to the brain respiratory center to shut down.
Duuuuuh Mungu wangu
 
Mkuu hizo sentensi ziliniuma mno. Yaani hapo nilishapoteza ndugu na marafiki halafu mtu anasema hakuna Corona? Kuna watu wamezunguka na wagonjwa wao hawapati huduma za ventilator maana kila wanapogonga wanaambiwa hakuna nafasi. Mpaka mgonjwa anawafia. Eti hakuna corona na hospital hazijajaa.

Kule kijijini watu wanahudumia wagonjwa wao bila tahadhari kwa kuwa wanaambiwa na daktari kuwa mgonjwa anaumwa Pneumonia. Nao wanajua Pneumonia siyo Corona.
Nashauri tuanze mapambano upya kutoa elimu. Corona inaendelea kwa kasi kubwa nchini.

Maalim Seif amefariki. Ni msiba wa Muungano hivyo tunamuomba sana Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano ahudhurie maziko yake.
 
RIP MAALIM SEIF SHARIF HAMAD
 
A sad day indeed. Mungu ailaze Roho ya Marehemu Seif Sharrif Hamad pema peponi. Na aendelee kumpa nguvu mkewe na familia yote wakati huu mgumu. Amina.
 
Mzee anavuta wakati aliojichagulia aule vyema uzee wake...khaaa!
 
Hii nchi inayoongozwa na machizi kutoka CHAMA CHA MACHIZI(CCM) inakwenda kupoteza Watz maelfu kwa maelfu kwa Covid-19!!
Kwa kifo cha Maalimu Seif, CCM wanashangilia ushindi kimyakimya kwa vile marehemu amewatesa sana CCM vipindi vote vya Uchaguzi tangu kuanza kwa mfumo wa MULTIPARTISM!!
 
Kifo cha maalim hakitokani na Covid-19 bali kimetokana na safari yake na mwenzake walioifanya kwa njia mbili tofauti kuelekea nyumbani kwa raia namba moja. Decision from room 105 resulted to the brain respiratory center to shut down.
.
 
Rest in Peace....

The President who Never Was.......

Not Once..., Not Twice, but a Couple of Times
 
Wanasiasa ni wanafiki sana, lakini bahati mbaya zaidi hata vyombo vya habari vimejaa unafiki.
Mzee huyu walimfinyia kila aina ya Fitna ili asitimize adhma yake, lakini baada ya kufa kwake wanatoka mafichoni kumwagia sifa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…