The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Inna lillahi waina ilaihi rajioon.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka Maalim Seif alikuwa kiongozi wa chama tofauti na unachokifiria.Bora alijiunga na serekali ya umoja wa kitaifa atazikwa kwa heshima zote za chama na serekali.
Subhana Allah brother unafurahia umauti wa Maalim Seif??? Unajua wewe dakika mbili zako mbele utakuwa nani???Unamatatizo makubwa Sana ambayo hujui kama unayo
Hakuna cha kufaidi Duniani.Nimeumia Sana[emoji24]
Angefaidi japo miaka hii mitano jamani [emoji24]
Dah! kwanini umewaza hivyoHalafu shida zaid kwa maalim sio umri pekee nadhani afya pia ilikua ishamsaliti vya kutosha, hili dubwana hata likitembea na Lowassa hakuna namna linapita naye mazima (kumradhi kwa watakaokwazika kwa hili)
Aisee ni kweli jamaa historia yake ni balaa, namsikiliza Abdulkarim Atik hapa TBC 1 anamuelezea Maalim hakika mimi mwenyewe najilaumu kwanini sikufatilia historia ya huyu jamaaCcm machinery wana PhD ya unafiki