TANZIA Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad afariki dunia

TANZIA Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad afariki dunia

Kifo cha maalim hakitokani na Covid-19 bali kimetokana na safari yake na mwenzake walioifanya kwa njia mbili tofauti kuelekea nyumbani kwa raia namba moja. Decision from room 105 resulted to the brain respiratory center to shut down.
Hakika nami kwa fikra nyingine nimeitafakari ile ziara kwa kina nikaangukia Kama hii post
 
Kigogo alitoa taarifa tangia jana.
King Kong III . Hivi ''system'' haiwezi kucheza mchezo wa kuondoa ''kero'' inayosumbua kila uchaguzi wa Zanzibar unapofika? Unajua corona ni ugonjwa ambao mtu anaweza kukuambukiza kwa makusudi kwa urahisi sana na usijue au isijulikane hasa kipindi hiki chenye maambukizo mengi. Just thinking aloud!
 
Dah, RIP Maalim Seif. Kama Taifa sasa inabidi "turudi" katika mstari tuongee kuhusu gonjwa hili bila kujifanya kuwa halipo.

Muimbaji Paschal Cassian ktk wimbo wake kuna mstari usemao - Usikiapo misiba au msiba kama huu basi tufahamu kuwa sauti ya Mungu imeamua kuhubiria ktk matatizo, ktk majonzi, wakati watu wanalia.......... hivyo turudi katika mstari.

PASCHAL CASSIAN TURUDI VIDEO AFRCAN

 
Kikwazo chenye ushawishi wa kuzuia kura kutoka upande wa Zanzibar za kuunga mkono kubadili katiba ili tupate mfalme "Kimeondolewa" kwa maradhi ambayo hatujatangaziwa rasmi na serikali yenyewe!.
 
Ni majonzi makubwa sana kwa wazanzibari na Tanzania kwa ujumla,hakika ni pigo kubwa sana kwa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar chini ya
Rais Dr Hussein Mwinyi katika kipindi hiki cha kuendeleza maridhiano na mshikamano kwa wazanzibar wote waitakiayo mema nchi yao. Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi.Poleni sana wazanzibar,watanzania na chama chake cha ACT maendeleo
 
Kifo ni kitenganishi cha maisha yetu hapa duniani!
Tutaonana tena huko juu aliko muumbaji wetu panapo majiliwa yake Mungu

R.I.P
 
RIP Saif na nimefurahi sana protocol ya kutangaza msiba imezingatiwa kama mkuu wa nchi. Kuna chakujifunza zaidi sio kama tulivyotangaziwa msiba uliopita wa Rais mstaafu
 
Back
Top Bottom