TANZIA Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad afariki dunia

Aliyekuwa makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar na katibu mkuu wa Chama cha ACT WAZALENDO ndugu Maalim Seif Sharif amefariki dunia, leo Mida ya saa5, jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu taarifa za kifo chake zimetolewa na Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dkt Hussen Ali Mwinyi Pumzika kwa amani Maalim.

 
Huu ugonjwa umeanza kuingia ikulu sasa stone ajiandae. Pumzika kwa amani Sefu kipenzi cha wazanzibari.
Bwana kipande wa twitani anasema jamaa alishapiga ndui ya mdudu kwa siri siri ..yuko vizuri mdudu hawezi mdhuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…