TANZIA Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad afariki dunia

TANZIA Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad afariki dunia

Inna lillah wainna ilaihyi rajiun.

Mwenyezi Mungu amjaalie Pumziko la amani peponi
 
Pole kwa ndugu wa mwendazake,Zanzibar na Tanzania kwa ujumla,katiba inasemaje ikitokea makamu Makia madarakani
 
Maalim asingeweza kupona Corona kwa umri wake, Walete waletee.. Kwioooo kwa babu ake...
Huyu mzee juzi mbona nimemuona akiongea akiwa amepona COVID na anatoa tahadhari ya ugonjwa, na kumlaumu mkewe kuwa ndo alimuambukiza? Kafa na nini sasa?
 
R.I.P jabari la siasa za Zanzibar. Utakumbukwa na wazanzibari kama shujaa wakweli uliyesimama imara dhidi ya uonevu wowote waliofanyiwa Wazanzibari. R.I.P mwamba.
 
Back
Top Bottom