Makamu wa kwanza Zanzibar amekiuka kumpongeza mshindi wa urais Zambia. Zanzibar sio dola huru mbele ya uso wa kimataifa

Huyo Makamu wa Raisi kasoma Sana sheria lakini ana IQ ndogo mno .Taabu yake sio elimu Ni IQ

Kuna wasomi wengi Elimu unakuta anayo lakini IQ ndogo hajui hata headed paper Ni kitu gani lakini akikubadhi lundo la vyeti vyake vya kusoma gunia linajaa!!!

Kuna interview ya mkuu wa fedha kwenye taasisi iliitishwa watu wakaenda no mivyeti vyao gunia .kuingia swali wakaulizwa noti ya shilingi elfu 10 Ina picha ya mnyama gani .Hawakupata.Mtu unashughulika na pesa halafu hujui pesa!!! Makamu wa Raisi hajui headed paper Tena mwanasheria!!!!
👏
 
Hiyo headed paper aliyotumia sio yake Ni ya serikali ya Zanzibar!!!! Huwezi binafsisha headed paper ya serikali
Yehodaya. Nimejaribu kupitia comments zako natafuta hoja siioni. Inaonekana una chuki na Mh Othman kupitiliza.

Kwanza twambie kavunja sheria gain kifungu kipi?
Pili tambua huyu ni makamo was Rais Zanzibar. Katoa pongezi binafsi. Kutoa pongezi binafsi kwa kutumia nembo ya Ofisi yake kosa ni nini?

Tatizo ni ukada na uhafidhina wako. Unadhani hats hiyo headed paper ya SMZ pengine haimuhusu.

Kwani tatizo ni nini?
Kutumia nembo ya serikali wakati yeye ni kiongozi was Serikali?

Kutumia salamu binafsi? Kwamba asitaje cheo chake na utambulisho was ofisi yake?

Protocali IPI au ya kisonge?

Acha chuki kiasi hicho.
 
Kwa mujibu wa mkataba wa kimataifa wa Montevideo ili dola liwe huru lazima liwe na uwezo wa kuingia mikataba ya kimataifa.

Kwenye katiba ya JMT, mambonya ni sio suala la muungano hivyo Zanzibar haipaswi kushiriki masuala ya nje bila kuihusisha wizara ya mambo ya nje ya muungano.

Kitendo cha makamu wa rais wa Zanzibar kutumia ofisi ya serikali ya mapinduzi Zanzibar kutuma salamu ni kuvunja Katiba. Maana Act walando ni sehemu ya serikali ya Smz ambayo ipo chini ya JMT.

Tukumbuke kuwa Zanzibar hakuna dola bali kuna serikali ya mapinduzi Zanzibar.

Nafikiri Kiswahili ni shida yetu waswahili. Sentenci ya mwisho una maana gani kusema . Zanzibar haina Dola lakini ina serikali ya mapinduzi ya Zanzibar ?! Nyankurungu2020
 
Yehodaya. Nimejaribu kupitia comments zako natafuta hoja siioni. Inaonekana una chuki na Mh Othman kupitiliza.

Kwanza twambie kavunja sheria gain kifungu kipi?
Pili tambua huyu ni makamo was Rais Zanzibar. Katoa pongezi binafsi. Kutoa pongezi binafsi kwa kutumia nembo ya Ofisi yake kosa ni nini?

Tatizo ni ukada na uhafidhina wako. Unadhani hats hiyo headed paper ya SMZ pengine haimuhusu.

Kwani tatizo ni nini?
Kutumia nembo ya serikali wakati yeye ni kiongozi was Serikali?

Kutumia salamu binafsi? Kwamba asitaje cheo chake na utambulisho was ofisi yake?

Protocali IPI au ya kisonge?

Acha chuki kiasi hicho.
Simple tu salamu binafsi hutumii headed paper ya serikali

Mfano yeye mwislamu ruksa kuoa hata wake wanne kwa hiyo akipeleka posa atatumia headed paper ya serikali? Kuwa Mimi Vice president wa serikali ya Zanzibar natoa barua hi ya posa personally kumposa kipenzi changu ua la waridi Miss Urojo mtoto wa Mzee Mwembetayari wa Mchambawima !!!

Mambo binafsi huwezi tumia headed paper ya serikali

Kama kampongeza personally alitakiwa amwandikie barua personal au atume email personal ya Yahoo ,Gmail,etc sio ya serikali

Yeye Ni mwanasheria vitu vidogo hivi kumshinda inatisha!! Halafu eti ndie alikuwa mwanasheria mkuu wa serikali!! Alipataje hicho cheo kwa uelewa mdogo huu alionao?
 
Pia amekosea protocol,masuala ya muungano hayamhusu. Amwachie rais wa JMT.
 
Na bora uvunjike tu, maana tunawanyonya sana Watanganyika!.
Katiba ya Zanzibar inasema Zanzibar ni nchi huru.

Katiba ya Tanganyika ama ya muungano inasema Tanzania ni nchi moja.

Sasa ni nchi gani ziliungana halafu zikawa na katiba 2?

Huu muungano wa kimagumashi usikusumbue kichwa, achana nao.

Huu obvious ni muungano wa asp na tanu, chama kingine kikiingia huu muungano unakufa kifo cha mende asubuhi kabla jua halijachomoza.
 
Mzee Odhiambo cairo tofautisha kati ya Government and state. Zanzibar sio sovereign state bali wana serikali ya Smz.
Zanzibar ina kila kitu mpaka vikosi maalumu. Na bado kuna mambo Zanzibar imeachiwa ifanye kimataifa hasa kwa yale yasio ya ki muungano . Bado unaichukulia poa ?!

Muungano hauna maana hasa kwa Tanganyika . Bali kutafuta sifa za hovyo zisizo na faida . Ni sawa tu na mwanaume kung'ang'ania penzi la mwanamke asiyekupenda. Utalazimika kugharimia zaidi .
 
Duh!
 
Katiba ya Zanzibar inasema Zanzibar ni nchi huru.

Katiba ya Tanganyika ama ya muungano inasema Tanzania ni nchi moja.

Sasa ni nchi gani ziliungana halafu zikawa na katiba 2?

Huu muungano wa kimagumashi usikusumbue kichwa, achana nao.

Huu obvious ni muungano wa asp na tanu, chama kingine kikiingia huu muungano unakufa kifo cha mende asubuhi kabla jua halijachomoza.
Ndio maana Zanzibar sio dola huru.
 
Na amesema mwanzoni kabisa wa barua yake..." Personally..." sasa sijui hiyo ya zanzibar kama nchi inaingiaje hapo ili ahali amesema hilo neno personal, yaani kwa niaba yake binafsi. Hakuanza na .... kwa niaba ya--- on behalf of ... ya serikali ya ... interpletation humu JF wakati mwingine ni changamoto...
Angalia paragraph ya pili ya hiyo barua utajua tatizo lilipo
 
Simple tu salamu binafsi hutumii headed paper ya serikali

Mfano yeye mwislamu ruksa kuoa hata wake wanne kwa hiyo akipeleka posa atatumia headed paper ya serikali? Kuwa Mimi Vice president wa serikali ya Zanzibar natoa barua hi ya posa personally kumposa kipenzi changu ua la waridi Miss Urojo mtoto wa Mzee Mwembetayari wa Mchambawima !!!

Mambo binafsi huwezi tumia headed paper ya serikali

Kama kampongeza personally alitakiwa amwandikie barua personal au atume email personal ya Yahoo ,Gmail,etc sio ya serikali

Yeye Ni mwanasheria vitu vidogo hivi kumshinda inatisha!! Halafu eti ndie alikuwa mwanasheria mkuu wa serikali!! Alipataje hicho cheo kwa uelewa mdogo huu alionao?
Chuki tu. Hutuoneshi kavunja sheria gain.
Maoni yako unataka yawe maoni ya Mh Othman.
Chuki zako zinakupofusha hats hujui maana ya barua rasmi.

Mara una muattack uanasheria wake.

Punguza chuki ewe mkereketwa.

Hakuna kosa hapo. Kutumia address rasmi ya cheo chake kumpongeza mshindi kwa njia rasmi ya barua. Shida nini?.

Angetoa pongezi kwa niaba ya wananchi kidogo tungeona point.

Punguza chuki na husuda
 
Pia amekosea protocol,masuala ya muungano hayamhusu. Amwachie rais wa JMT.
Chuki tu. Hajatoa pongezi kwa niaba ya JMT wala kwa niaba ya Zanzibar wala wananchi.

Kutumia njia rasmi ya barua rasmi kumpongeza mshindi kwa kutumia address rasmi ya ofisi yake. Shida nini?

Hio headed paper inamtambulisha yeye ni nani haina maana katuma kwa niaba ya nchi.

Nadhani uhafidhina unakupotezea baadhi ya maarifa.
Punguza chuki
 
Soma paragraph ya pili ya hiyo barua ndipo utajua huyo Makamu wa Raisi kichwani hamna kitu mweupeeee
 
Kwa mujibu wa mkataba wa kimataifa wa Montevideo ili dola liwe huru lazima liwe na uwezo wa kuingia mikataba ya kimataifa.

Kwenye katiba ya JMT, mambo ya nje ni suala la muungano hivyo Zanzibar haipaswi kushiriki masuala ya nje bila kuihusisha wizara ya mambo ya nje ya muungano.

Kitendo cha Makamu wa Rais wa Zanzibar kutumia ofisi ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kutuma salamu ni kuvunja Katiba. Maana Act wazalendo ni sehemu ya serikali ya Smz ambayo ipo chini ya JMT.

Tukumbuke kuwa Zanzibar hakuna dola huru bali kuna serikali ya mapinduzi Zanzibar.

Mbona Rais wa Zanzibar akituwakilisha kwenye mikutano nje ya nchi hasemi ni unconstitutional.
 
Personally kama makamu wa kwanza wa Smz. Sio kama Osman Masoud. Kama ni ishu zake binafsi headed paper ya Smz ya nini? Wewe ndio hujui.
Kwa hiyo kosa ni kutumua headed paper au neno personally ? Kama aliiandika kwa niaba ya SMZ, ya nini kuweka hilo neno? Labda yumo humu ajibu
 
Back
Top Bottom