Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,322
- 3,648
Kifo cha mpishi wake kilimshtua sana,lakini kabla ya hapo,kitendo cha kuchomwa matako kwa mtu aliyejitokeza kukemea kutukanwa kwake,nacho kilifikirisha sana.
Ndugu Nchimbi ni mwanafunzi aliyeiva wa Mwalimu Julius Nyerere,matendo yake yanataja lipi giza na ipi nuru,aliita koleo ni koleo na udhalimu aliuta udhalimu,daima hawezi kukaa na wadhalimu.
Nchi imebadili mweleo toka nchi yenye kurejewa kama Taifa la Nyerere,nchi kimbilio la kila Mwafrika,nchi yenye demokrasia,kisiwa cha amani hadi kuitwa nchi ya umwagaji damu,taifa lililopigana na wananchi wake na kuua vijana zaidi ya 500 waliokuwa wanadai mabadiliko,nchi ambayo majirani wanaiona kama mfano wa mbinu chafu za kuiba kura,nchi ya watu wanaotekwa na kuuawa,taifa lililopoteza utu.
Daima Ndugu Nchimbi atasimama upande wa Watanganyika ambao tunajiita Watanzania,dhidi ya yule muovu anayefanya kila apendacho kwa Watanganyika na mali asili zake,daima ndugu Nchimbi atatetea maslahi ya Watanganyika na mali asili zake,hii ni baada ya bahati mbaya kumpata mtu mwenye kuichukia Tanganyika ambayo tunaiita Tanzania,na yeye akijiita Mzanzibari.
#
Uwepo wa serikali ya Danganyika kulinda maslahi ya Danganyika kama serikali ya Zanzibar inavyolinda kikatiba kisheria na kiserikali ya Zanzibar na wazanzibar yasiwe sehemu ya kinachoitwa muungano
Matokeo yake kila rasimali ya Danganyika imekuwa kwenye shamba lisilo mwenyewe kikatiba kisheria na kiserikali kwa sababu hakuna serikali ya kulinda maslahi ya Danganyika
Kwa kuwa Serikali ya muungano ni ya kila mmoja hivyo haiwezekani kutetea maslahi ya Danganyika kwenye muungano wa upande mmoja