Makamu wa Rais akikabidhi magari katika Mradi wa Kukuza Utalii (REGROW), Agosti 17, 2022

Makamu wa Rais akikabidhi magari katika Mradi wa Kukuza Utalii (REGROW), Agosti 17, 2022

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Makamu wa Rais ameshiriki wa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi Magari maalum yatakayotumika katika kuboresha Miundombinu ya Utalii yaliotolewa na Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW) Mikumi mkoani Morogoro, leo Agosti 17, 2022

 
Hivi Katibu Mkuu wa Wizara husika angeweza kukabidhi? hapo gharama zilizotumika utakuta ni zaidi ya milioni 400 kwenye hilo tukio
 
Huu ujinga utaisha lini? Hao mnaowaita viongozi wanafoji safari. Kwani kukabidhi malori mpaka awepo makamu wa rais....Huu ni ulaji wa kijinga, mmejazana viongozi wa CCM.
 
Back
Top Bottom