Makamu wa Rais ameshiriki wa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi Magari maalum yatakayotumika katika kuboresha Miundombinu ya Utalii yaliotolewa na Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW) Mikumi mkoani Morogoro, leo Agosti 17, 2022
Huu ujinga utaisha lini? Hao mnaowaita viongozi wanafoji safari. Kwani kukabidhi malori mpaka awepo makamu wa rais....Huu ni ulaji wa kijinga, mmejazana viongozi wa CCM.