Mpango pitia kwenye zile benki ulete mabilioni yetu yaliyofichwa.
Kama yako yaliyofichwa basi na yeye atakuwa na fungu lake huko!! Usitegemee kuwa atajipiga kisu mwenyewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpango pitia kwenye zile benki ulete mabilioni yetu yaliyofichwa.
Wengine waliofuatia meko hayumo ?Tangu enzi za jk
Kwa kweli tunaomba mpango mbali na kazi nyingine aliyoenda kufanya tunaomba aishawishi serikari ya uswis kurudisha mabilion yetu yaliyofichwa huko
Huyu mbona hampigi kelele kuwa anasafiri au kwakuwa ni "mwenzetu "Mama yenu karibia anapisha kiti, huyo Mpango ndo globalist choice, hata “aliumwa covid live“ mama enu hajawahi umwa covid, karibia anapisha!
Hana nguvu hiyo. Na wala chama chake hakina nia hiyo. Ulishawahi kusikia serekali au chama chake kujadili uwezekano wa kurudisha hizo fedha?
Huyu mbona hampigi kelele kuwa anasafiri au kwakuwa " mwenzetu "
Kasomea masuala ya biashara na utawalaNimesikia mara kadhaa kuwa Samia naye ni mchumi!
Jiwe sidhani kama alipeleka huko. Yule anaweza kuwa alizifukia sehemu.Wengine waliofuatia meko hayumo ?
21 May 2022
Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango alivyowasili nchini Switzerland
Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Philip Isdor Mpango amewasili nchini Uswisi kushiriki katika kongamano la Davos World Economic Forum The World Economic Forum.
Agenda nyingi zitajadiliwa kufuatia changamoto ya UVIKO, mabadiliko ya hali ya hewa na Vita ya Ukraine huku bei ghali ya vyakula / nafaka na usafirishaji toka maeneo ya uzalishaji mkubwa kushindikana ilivyotikisa chumi za nchi hivyo kuleta tishio la njaa huku dunia ikitetema juu ya kuanguka kwa uchumi wa dunia.
Na makamu wa rais Mh. Philip Isdor Mpango atatoa mhadhara juu ya jinsi ya kuepusha janga la njaa dunia kufuatia hali iliyopo sasa duniani , mhadhara huo utakuwa mubashara.
Kongamano hilo la Davos hufanyika kwa kuwakusanya viongozi na watu wenye ushawishi ili kujadili mustakhabali wa changamoto ambazo dunia inabidi kukabiliana nazo utaanza tarehe 22—26 May 2022 source : World Economic Forum Annual Meeting 2022 Returns to Davos to Address Unprecedented Geo-economic Challenges Impacting a Multipolar World
Averting a Global Food Crisis
The world may be facing the worst food crisis in decades, driven by the compounded effects of
COVID-19, climate change and conflicts such as the war in Ukraine, exacerbating already
skyrocketing food and energy prices and severe hunger. What global priorities and business
action are imperative to mitigate these global shocks and address the interrelated risks
threatening food systems everywhere? This session was developed in partnership with CNN.
Simultaneous interpretation in English and Vietnamese This is a livestreamed session.
· David Beasley, Executive Director, United Nations World Food Programme
(WFP), Rome
· J. Erik Fyrwald, Chief Executive Officer, Syngenta Group, Switzerland
· Mariam Mohammed Saeed Al Mheiri, Minister of Climate Change and the
Environment of United Arab Emirates
· Philip Isdor Mpango, Vice-President of the United Republic of Tanzania