Makamu wa Rais alivyowasili nchini Uswisi

Mama yake naye yupo Ghana,ila siku mkikosea mkikaimishe uraisi kibibi TULIA ACKSON mkirudi mtakuta kimeenda mahakamani kuzuia mpango na mama yake kuwarudishia ofisi.
 
Makamu wa Rais Philip Isdor Mpango akichangia mada hiyo amesema ili kukabiliana na janga hilo ni muhimu bunduki zote zilizopo ktk uwanja wa vita iwe Ukraine au Sudan ya Kusini , Mozambique na maeneo ya Afrika lazima ziache kuvyatua risasi

25 May 2022
Goma, DR Congo

Mashariki ya Congo wananchi wasema wamechoka vita

Wakitumia lugha ya kiSwahili wametoa rai dunia iwaangalie na kuchukua hatua kwani wanahangaika sana kwa mateso

Wananchi wa DR Congo mashariki ya nchi yao wakiongea na France24 kituo cha televisheni cha Ufaransa wameelezea vita isiyokwisha tangu taifa hilo lilipopata uhuru na kumuomba rais Felix Tshisekedi wa DR Congo na jumuiya ya kimataifa kuwa na utashi wa kumaliza vita hiyo ndefu .

Source : France 24
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…