Makamu wa Rais azungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Temeke

Makamu wa Rais azungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Temeke

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Makamu Wa Raisi Azungumza Na Wajumbe Wa Kamati Ya Siasa Na Sekretarieti Ya CCM Wilaya Ya Temeke

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa CCM na Wananchi, alipowasili katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Temeke Jijini Dar es Salaam leo Juni 23,2020 kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Temeke.



Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na DJ Mwanaidi Adinan Msuya wa Kikundi cha Peramiho Music Sound alipowasili katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Temeke Jijini Dar es Salaam leo Juni 23,2020 kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Temeke.


Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam leo Juni 23,2020.

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 
Back
Top Bottom