Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
Embu acha ujinga wako hapa wewe.Kifo ni Kifo tu msilete taharuki.
Naona umechanganyikiwa na kuanza kujiropokea tu kama mgonjwa wa akili.Team Kizimkazi na Masheikh wako kazini. Ajiandae tu na yeye.
Kama sio ajali ya ndege tutasikia tu alikuwa usingizini alafu mtu hayupo.
Ushirika wa wachawi haudumu.
Jiandae na wewe. Si ulikuwa unampigia chapuo awe ajaye 2030 then Ridhiwani.Naona umechanganyikiwa na kuanza kujiropokea tu kama mgonjwa wa akili.
Kisa umeona mtu katoa salamu za pole?Kweli kule X "kamba" nyingi sana!!!
ππππKama hujawai shuhudia Pengo linalozibika, ndo hili sasa π
ππππKwani mama ako wapi?
Mboni hajatokea msibani?