Makamu wa Rais Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi akisalimiana Na Papa ndani ya Vatican City

Makamu wa Rais Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi akisalimiana Na Papa ndani ya Vatican City

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu Watanzania,

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi.

Amekutana Na kufanya Mazungumzo na Mkuu wa Kanisa la Katoliki Duniani Papa Leo ndani ya Viwanja Vya Vatikani City .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
​
Screenshot_20260401-221742_1.jpg
 
Ni ngumu sana kumhusisha Nchimbi na mauaji ya Oktoba 29. Wenye kuhusika ni;
1. Bimdashi mwenyewe.
2. Bwana Mipango na Mipangilio.
3. Kupata Ni Majaaliwa.
4. Innocent Machungwa.
5. Bwama Madelu/mandevu.
6. Aigipiii
7. Rpisii (Mbeya, Dar, Mwanza).
8. RC wa Dar (Kichwa ubapa).
9. Mafwe mtusi.
Mpaka Oktoba 29, Nchimbi hakuwa na cheo, ushawishi wala kiapo chochote. Hakuna mkuu wa jeshi.
Kisu kifike kwenye mfupa, wauaji wa halaiki ni hao hapo juu.
 
Ndugu Watanzania,

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi.

Amekutana Na kufanya Mazungumzo na Mkuu wa Kanisa la Katoliki Duniani Papa Leo ndani ya Viwanja Vya Vatikani City .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
​
View attachment 3565941
Papa atakuwa amekabidhiwa picha hizi
Screenshot_20260212-145525~2.png
Screenshot_20260120-224356~2.png
 
Back
Top Bottom