Binafsi niliwahi kumsikia Hayati akisema kutokana na janga la Corona uchumi wetu umekuwa kwa 4% japo nimejaribu kweli kuisaka ile hotuba sijaipata na sikumbuki aliongea akiwa wapi.
Alichozungumzia Mama ni report hiyohiyo ambao wanaanda wataalam wake wa BOT na sio yeye mwenyewe ni same na Hayati, na hapo ujue amezungumzia kwa mwaka wa fedha 2020/2021 ambapo report zake ziko tayari sio 2018/2019 kabla ya ujio wa Corona ambapo ukuaji wa uchumi ulikuwa unakuwa kwa 6.8%- 7% kama alivyosema yeye mwenyewe Mama.
Hivo basi kitendo cha mama kusema uchumi wetu umekuwa kwa 4.9% toka 6.9% manaake ni kweli ikichosema hayati kuwa uchumi wa nchi ukikuwa katika ratio hiyo huko nyuma lakini kutoka na hali fulani yasasa umeporomoka na kukua kwa 4%.