Makamu wa Rais Dk. Mpango tuombe Radhi!

Makamu wa Rais Dk. Mpango tuombe Radhi!

Mh.Makamu was Rais wewe ndiye ulikuwa Mchumi namba moja wa Awamu ya Tano!
Wewe ndio ulikuwa unatudadavulia kisomi mafanikio ya kiuchumi ya mwendazake!
Wewe ndio ulituelimisha kuhusu uchumi wetu kukua kwa 7%.
Wewe ndio ulituambia kuhusu ATCL kuoata faida Hadi kutoa gawio kwa Serikali.😨
Leo miezi miwili tu inaonekana ndivyo sivyo!
Mama anasema Sasa uchumi upo 4% kisa no Covid 19 Ambapo tuliambiwa tumeishinda!
Katika Hali ya kawaida tunaweza kusema Serikali ilikuwa inatudanganya!
Sasa Mh.VC wewe Kitaalamu si inakudhalilisha!
Najua kwenye Siasa inawezekana ,lakini kwa Mamlaka uliynayo Sasa ni Busara ukatubu!
vc niini?
 
Wewe ndio ulituambia kuhusu ATCL kuoata faida Hadi kutoa gawio kwa Serikali.[emoji32]
Leo miezi miwili tu inaonekana ndivyo sivyo!
Mama anasema Sasa uchumi upo 4% kisa no Covid 19 Ambapo tuliambiwa tumeishinda!
Katika Hali ya kawaida tunaweza kusema Serikali ilikuwa inatudanganya!
Sasa Mh.VC wewe Kitaalamu si inakudhalilisha!
Najua kwenye Siasa inawezekana ,lakini kwa Mamlaka uliynayo Sasa ni Busara ukatubu!
Hafai hata kuwa Makamu wa Rais amechangia Uchafu wote wa Uchumi na Fedha uliopo
 
Mh.Makamu was Rais wewe ndiye ulikuwa Mchumi namba moja wa Awamu ya Tano!
Wewe ndio ulikuwa unatudadavulia kisomi mafanikio ya kiuchumi ya mwendazake!
Wewe ndio ulituelimisha kuhusu uchumi wetu kukua kwa 7%.
Wewe ndio ulituambia kuhusu ATCL kuoata faida Hadi kutoa gawio kwa Serikali.😨
Leo miezi miwili tu inaonekana ndivyo sivyo!
Mama anasema Sasa uchumi upo 4% kisa no Covid 19 Ambapo tuliambiwa tumeishinda!
Katika Hali ya kawaida tunaweza kusema Serikali ilikuwa inatudanganya!
Sasa Mh.VC wewe Kitaalamu si inakudhalilisha!
Najua kwenye Siasa inawezekana ,lakini kwa Mamlaka uliynayo Sasa ni Busara ukatubu!
we acha tu, walimdanganya jiwe kuwa yuko fiti akawa anapiga na pushup kumbe anatembelea betri kama remote ya tv, wangetueleza kuwa mzee hayuko poa tungemzuia huko kujimwambafai, huyu nae supana mkononi sijui kama ataiweza kuizungukia hii nchi, manake tangu ateuliwe tofauti na dodoma keshaenda dar na mwanza tu, tena kwenye minuso tu,
 
Kuna watu wanatamani kufuta maneno, kauli na matamshi yao waliyoyatoa wakati wa JPM sema ndio haiwezekani na mbaya zaidi technolojia imetusaidia kuhifadhi kumbukumbu.
 
Uchumi wa kati haubase kwenye hizo % brother..
Taifa kama la Germany liko katika uchumi wa juu kabisa na ni Taifa lenye uchumi mkubwa zaidi pale barani Ulaya lakini % zao ushawahi kuziona? Embu tafuta google ujionee mwenyeweView attachment 1770832
Sisi Wananchi wa kawaida mnatuchanganya.
 
Binafsi niliwahi kumsikia Hayati akisema kutokana na janga la Corona uchumi wetu umekuwa kwa 4% japo nimejaribu kweli kuisaka ile hotuba sijaipata na sikumbuki aliongea akiwa wapi.

Alichozungumzia Mama ni report hiyohiyo ambao wanaanda wataalam wake wa BOT na sio yeye mwenyewe ni same na Hayati, na hapo ujue amezungumzia kwa mwaka wa fedha 2020/2021 ambapo report zake ziko tayari sio 2018/2019 kabla ya ujio wa Corona ambapo ukuaji wa uchumi ulikuwa unakuwa kwa 6.8%- 7% kama alivyosema yeye mwenyewe Mama.

Hivo basi kitendo cha mama kusema uchumi wetu umekuwa kwa 4.9% toka 6.9% manaake ni kweli ikichosema hayati kuwa uchumi wa nchi ukikuwa katika ratio hiyo huko nyuma lakini kutoka na hali fulani yasasa umeporomoka na kukua kwa 4%.
Teletee hiyo hotuba otherwise na wewe ni muongo kama wao
 
Mbona hayati alisema sisi corona haituhusu hivyo tuendelee kuchapa kazi ili tuilishe dunia ambayo imejifungia ndani sasa iweje uchumi uporomoke tena wakati sisi corona haituhusu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tanzania ukianza kuhesabu WANAFKI unaweza ukawabaini karibia nchi nzima. Muongo anazaa sana watoto...watoto wanakuwa waongo kwa kurithi, huyu muongo anaajiriwa serikalini kwa ujanja ujanja..wanafunzi nao wanalishwa uongo na ujanja ujanja. Taifa lijalo ndio litakuwa vituko kuliko tuonavyo sasa
 
Binafsi niliwahi kumsikia Hayati akisema kutokana na janga la Corona uchumi wetu umekuwa kwa 4% japo nimejaribu kweli kuisaka ile hotuba sijaipata na sikumbuki aliongea akiwa wapi.

Alichozungumzia Mama ni report hiyohiyo ambao wanaanda wataalam wake wa BOT na sio yeye mwenyewe ni same na Hayati, na hapo ujue amezungumzia kwa mwaka wa fedha 2020/2021 ambapo report zake ziko tayari sio 2018/2019 kabla ya ujio wa Corona ambapo ukuaji wa uchumi ulikuwa unakuwa kwa 6.8%- 7% kama alivyosema yeye mwenyewe Mama.

Hivo basi kitendo cha mama kusema uchumi wetu umekuwa kwa 4.9% toka 6.9% manaake ni kweli ikichosema hayati kuwa uchumi wa nchi ukikuwa katika ratio hiyo huko nyuma lakini kutoka na hali fulani yasasa umeporomoka na kukua kwa 4%.
[emoji15]!!! HEEE!!! Acheni uongo Kwani wakati wa MWENDAZAKE kulikua kuna CORONA acheni kupotosha nyie ndio wenye lile genge lenye nia ya kufuta LEGACY ya marehem MALAIKA wakati CORONA haikuwepo bana

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji15]!!! HEEE!!! Acheni uongo Kwani wakati wa MWENDAZAKE kulikua kuna CORONA acheni kupotosha nyie ndio wenye lile genge lenye nia ya kufuta LEGACY ya marehem MALAIKA wakati corona hailuwepo bana

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ona sasa kumbe na wewe huna akili ndio maana unamtetea. Jifunze kutumia akili vizuri....!
 
Ukweli gani kaongea hapo zaidi ya porojo...! Kwani uongo Corona kuathiri uchumi.?
Kwani wakati wa MAGU Corona ilikuwepo !!!???

Si alisema CORONA haikuwepo Tanzania ila kulikua na ugonjwa wa changamoto ya Upumuaji

Kwani changamoto ya Upumuaji nayo ilikua inaathiri uchumi au mi ndio sielewi !!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

MWENDA ZAKE BANA YAANI KATUACHIA KELELE ZA LEGACY KILA KONA CHA AJABU LEGACY YENYEWE INAPOTEA KILA UCHWAO [emoji17][emoji17][emoji17]
 
Back
Top Bottom