Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Wakuu,we have a problem!
 
Kazi ipo
 
Kila Mwanadamu atakufa muda wake ukifika na kwa mapenzi ya Mungu
 
Chini ya mtutu wa bunduko ama kwa ridhaa yake?
Huyu sio mteule wa Rais, huyu alipogiwa kura na wananchi. Tunataka uchaguzi uitishwe upya
Nchimbi kukubali kijiuzulu, wakati kachaguliwa na wananchi, ni ujinga mkubwa sana.

Namna pekee nitakayomuelewa ni labda kama kaogopa watamuua tu.

Na hata hiyo alitakiwa hata kukimbilia nje na kusema, si kujiuzulu kifala hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…