Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Wanamtandao wameshinda Tena

lengo lao 2030 Rais atoke bakwata ikishindikana Sana wampe yule bogazi

unakuta lizee la ccm linamchekea Samia na kikwete

Wangejua wanayopanga kizani
Polepole alishatuambia kuwa nchimbi pia ni mwanamtandao.
Mtandao wa Zenji vs mtandao wa Msoga.
Acha waparulane, wote hawana faida Nchi hii
 
Maswali ambayo najiuliza.

Ni trick ipi waliyotumia kum force Nchimbi mpaka kuachia ngazi?

Maana huko nyuma kumekuwa na tetesi za Nchimbi kulazimishwa kujiuzulu.

Je usalama wake ulitishiwa? Au pengine ameamua kukubali kwa lengo la kulinda familia yake kwasababu ni easy target?

Kwasababu hili swala ukilitafakari kuwa ni maamuzi ya hiari, hali make sense kabisa.
Ni maamuzi yake hata kikao na Kikwete aliitwa ili atulie yeye akasimamia msimamo wake wa kujiuzuru..
 
Tunajua madawati yote TISS wameweka kambi hapa. Na wakubwa wao wanasoma hii thread kwenye big screen.

Either ni drama or ni kweli, sisi Watanzania tunasema CCM ndo janga la nchi hii. Endeleeni kujishikanisha nayo, mtazama nayo.

Tanzania KWANZA ndo mengine yafuate. Nyie endeleeni kujipa yamini kwamba CCM kwanza.

Mwanzo wa ngoma ni LeLe
 
Wasingefanya kitu kuliko sasa ndo atakua uchi zaidi.
Wasingefanya kitu wakina nani?

Kuna tetesi kwamba familia za wanaharakati ziliwahi kutishwa kwasababu watoto wao wakiwa nje wanaisagia kunguni serikali.

Na kweli tuliona baadhi ya wanaharakati wakilegeza misimamo yao, wengine wakirudi nyuma kabisa kupinga maandamano.

Unataka kuniambia wanaharakati walioko mbali ni tishio sana kuliko mtu ambaye wanashea naye korido?
 
Back
Top Bottom