Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Naam nafahamu ila dah!! Wanalichezea sana Taifa
Wangejua mzigo wa kuwahudumia hawa wastaafu bora wangevumiliana hadi wamalize kipindi chao pamoja

Unajua Makamu wa Rais mstaafu anakula mshahara wa 80% ya Mshahara wa Makamu wa Rais aliyeko madarakani

Sasa wahesabu waliopo hao hadi sasa, unagundua wage bill invyozidi kupaa kwaajili ya maSiasa yao ya kutovumiliana

Kwenye ndoa zetu wenyewe tunapigana na kufumaniana Kila siku lakini maisha yanaendelea, hakuna kuachana, ndiyo wao na Siasa zao washindwe kuvumiliana
 
Mbele ya interest zao Hilo hakuna umuhimu Kodi situnalipa wananchi 😂
 
Waache wauane
 
Ni maneno mawili yamemtoa madarakani...

  • Watanzania pambaneni kupata Katiba Mpya
  • Katiba iliyopo inampa Rais madaraka yasiyokuwa na maana

Yule Jamaa wa kule Kaskazini kwenye Jimbo ambalo ni hatari kwake (Chuga) ambalo kama Kuna Katiba Mpya anajua hawezi kupona huko mbeleni...akamlilia dogo (Dulla).... Mwambie Mazaaa kwamba huyu anamwaga ugali na mboga...hatuta pona kwa anayo ongea

Anyway.... Nawahakikishia kutatokea tuu mabadiliko kidogo tuu...(Cosmetic change) ...lakini kubadili mfumo wa Katiba haiwezekani kwa Sasa... Mpaka moto mwingine utokee huko mbeleni zaidi ya mwaka 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…