Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Ccm is very proud kutawala mazezeta kama wewe.Wagalatia kwishine! mmempamba sana Nchimbi hadi mumemuharibia!
Nchimbi mmemuharibia kwa ujinga wenu! mlivyo wajinga sijui mlidhani NCHIMBI kajiteua mwenyewe bila mamlaka za juu
Kuna Uzi uliwahi kuandikwa humu na The Boss kwamba Mbowe na JK ni watoto wa mjiniWali wa kushiba unaonekana kwenye sahani.
Uzuri watu wakuaminika wanaonekana kwa macho.
Hili jamaa sijawahi hata kuwa na imani nalo since way back.
Sio heshima ni ungeseAmechagua heshima dhidi ya serikali dharimu
Uyangidinisa.!Ongea kizulu nione!
Kwenye barua yake kasema annastaafu SiasaHivi akijiuzuru hata nafasi ndani ya chama anavuliwa ! Au mikutano ya chama atakua anahudhuria kama kawaida
nafikiri.....Labda ukipita Instagram huwezi kosa...fatilia pages za musicians Tanzania tiktok na instaKwa hao Dar kuna Any school inafundisha hizi mambo?
Kumbe zile safari zake za kutembelea wastaafu hapa mwishoni alikuwa na ajenda yake!Ni maamuzi yake hata kikao na Kikwete aliitwa ili atulie yeye akasimamia msimamo wake wa kujiuzuru..
Hakuna kete yoyote Ile inayochezwa hapo .Mbona kama kuna kete inachezwa kwa akili sana.
lakin pale UDSM...Fine Art kuna watu husoma mziki na sanaa zingine tena free kabisa wewe ukijimix nao kama mwanafunziKwa hao Dar kuna Any school inafundisha hizi mambo?
Amechaguliwa na nani?Nchimbi amewasaliti watu waliomchagua.
Hapa wataenda kupewa makamu wa rais wa kuteuliwa wakati mtu aliyechaguliwa kajiuzulu na hata sababu hajatoa.
Na hili ndiyo tatizoMbele ya interest zao Hilo hakuna umuhimu Kodi situnalipa wananchi 😂
Kwahiyo 2025 palikuwa na uchaguzi?Nchimbi amewasaliti watu waliomchagua.
Hapa wataenda kupewa makamu wa rais wa kuteuliwa wakati mtu aliyechaguliwa kajiuzulu na hata sababu hajatoa.