Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

“Mtu dhaifu mara nyingi hujiona anatisha, kwa sababu hajawahi kuona watu wenye nguvu wakiamua kunyamaza.”
 
Baada ya kifo Cha mpishi wake wa ofisini nadhani ameingiwa na hofu so amejiongeza.
 
Nchii hii hakuna mtu anajiuzulu kwa kupenda.
Soma uzi wa jana wa Britanicca
"Ama aamue au waamue"
 
Mbona hii barua imekaa kimtindo flani ambao siuelewi...
 
Kwa nini ahadi yake kwa Samia iwe na umuhimu kuliko ahadi ya kuwatumikia Watanzania?

Kwani Nchimbi alikuwa Makamu wa Rais wa Tanzania au wa Samia?
Nini hujui???? Yeye ni Msaidizi wa Rais hata PM! Ndiyo maana huwa wanaweka suti maofisini mwao maana anytime Rais anaweza kukutuma popote. Hivyo kama amekuchoka atakuondoa tu
 
Namaanisha waendelee kuuana huko ndani maana kwa sasa mabadiliko kutoka nje hayafanyi kazi, inabidi waparuane wauane mpaka wao wenyewe huko ndani waitishe mabadiliko
Kwa nini unafikiri kuuana ndiyo kutaleta mabadiliko mazuri na si chaos zaidi?

Mfano, Nchimbi angalau alikuwa anasema watu wapiganie katiba mpya. Sawa, tunajua ni CCM, ni walewale, lakini hata ndani ya CCM kuna tofauti. Wote si sawa.

Sasa akiletwa chawa ambaye hata kusema hivyo hasemi anafungia vyombo vya habari tu, awe Makamu wa Rais, utaona ndiyo afadhali?

Alwtwe Makonda kuwa Makamu wa Rais, utaona poa tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…