Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Tena ni uungwana kujiuzulu, Nchimbi kaingia kwenye historia ya Tanzania kama alivyoingia Mzee mwinyi. Japo sababu ya kujiuzulu kwake ipo Kwa ujumla lakini sababu hiyo ipo wazi na inaeleweka kabisa...Kama mmeshindwa kuelewana ya nini muendelee kufanya kazi pamoja?, ni Bora muachane na maisha mengine yaendelee....Nchimbi atulie tuli na asubiri muda mwingine muafaka ukifika labda anaweza kuwa na hamu ya kurudi kwenye siasa
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.

Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha uamuzi wake wa kuachia nafasi hiyo.

Amesema uamuzi huo umefanywa kwa kuzingatia Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 149(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kujiuzulu kwake kutaanza rasmi Septemba 4, 2026.

Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa wakati alipomuahidi Rais Samia mwaka 2025 kuwa atamsaidia katika kutekeleza majukumu yake kwa uwezo na uaminifu wake wote, pia aliahidi kuwa angeachia nafasi hiyo siku ambayo Rais angeona anahitaji Makamu mwingine.

Amesema amefanya uamuzi huo pasipo shaka baada ya kubaini kuwa Rais anatarajia mabadiliko.
Ifike pahala Samia na watu wake wanao ibagaza Tanganyika watambue kuwa, kujiudhuru kwa viongozi wake

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.

Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha uamuzi wake wa kuachia nafasi hiyo.

Amesema uamuzi huo umefanywa kwa kuzingatia Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 149(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kujiuzulu kwake kutaanza rasmi Septemba 4, 2026.

Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa wakati alipomuahidi Rais Samia mwaka 2025 kuwa atamsaidia katika kutekeleza majukumu yake kwa uwezo na uaminifu wake wote, pia aliahidi kuwa angeachia nafasi hiyo siku ambayo Rais angeona anahitaji Makamu mwingine.

Amesema amefanya uamuzi huo pasipo shaka baada ya kubaini kuwa Rais anatarajia mabadiliko.

View attachment 3656524
Samia hatambui kuwa ,,,Huku ku resign kwa viongozi wake waandamizi , Kuna mchafua yeye mwenyewe! ...(Job Ndugai, Philip Mpango, Majaliwa) Sasa Makamu wake Nchimbi!

Nchimbi ni presidential material plz tunaomba asife kama Ndugai, ee Mungu tusaidie kwa hili tu sisi Watanganyika.
 
Kaka hakuna jambo baya sana kama mapinduzi yanapofeli. Kila shimo litafukuliwa, kila jiwe litapinduliwa na kila kichaka kitafyekwa kuona kilichomo.

Sio issue hata

Sio issue hata Kenya Makamu wa Rais Gashagwa aliondolewa na kuja mwingine, Kindiki.
Mkuu kwamba !!
Oooh kumbe MAPINDUZI kufelii....
 
Chini ya mtutu wa bunduko ama kwa ridhaa yake?
Huyu sio mteule wa Rais, huyu alipogiwa kura na wananchi. Tunataka uchaguzi uitishwe upya

KWA MUJIBU WA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA IBARA YA 50(4),ENDAPO MAKAMU AKIJIUZULU UCHAGUZI HAUFANYIKI UPYA KITI CHAKE KITAKUWA WAZI NA RAIS ATATAKIWA KUTEUA MAKAMU MPYA NDANI YA SIKU 14 NA JINA KUPELEKWA BUNGENI KUPIGIWA KURA
 
Samia hatambui kuwa ,,,Huku ku resign kwa viongozi wake waandamizi , Kuna mchafua yeye mwenyewe! ...(Job Ndugai, Philip Mpango, Majaliwa) Sasa Makamu wake Nchimbi!

Nchimbi ni presidential material plz tunaomba asife kama Ndugai, ee Mungu tusaidie kwa hili tu sisi Watanganyika.
Nasubiri pia Lameki Nchemba ni swala la muda tu
 
Hiyo si sababu hiyo ni excuse ya kuwapa wajinga.

Mabadiliko gani?

Yani anataka kutuambia kachaguliwa kuwa Makamu wa Rais halafu siku Rais akiamua tu "Leo nimekuchoka" anakubali kujiuzulu?
Alimhaidi kuwa atamsaidia hadi pale ambapo atamchoka. Sasa amejidhirisha kuwa amemchoka. Hivi nini huelewi, unakuwa kama mtoto mdogo
 
Back
Top Bottom