Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 2,637
- 8,057
🤣😅Kwani nyie hamuwezi kutoa uhai? Watu milioni sabini wote mmekosa hata sniper mmoja awatoe kimasomaso?
Watu wanauawa kama kuku, aliyetoa amri anasema nguvu iliyotumika ni sawa tu, halafu nchi inaendelea tu kama hakujatokea kitu, wewe unaona sawa hapo?
Hili ni tusi kwa Watanzania wote.
Anahitajika angalau mtu mmoja tu ajitoe muhanga kurudisha heshima ya nchi.
Kumbe Wangoni hatubabaishwi na mambo madogo kama madaraka.
pin pointChini ya mtutu wa bunduko ama kwa ridhaa yake?
Huyu sio mteule wa Rais, huyu alipogiwa kura na wananchi. Tunataka uchaguzi uitishwe upya
Mkuu hao wanaangalia nani atakua kwenye nafasi ya kuwapa makombo ili wam-support, yaani hao ni kama Tupak wa-switch na beat linavyokuja, hata zikipigwa beat mbili kwa mpigo ni kucheza nazo humo humo..AJABU
KWANGU
LEO simuoni
Mwashamba na mwenzie Tlaatlaah mbona kimya ?
JE
Walikuwa Team Emmanuel
Nchimbi
Au watakuja muda mwafaka??
Mimi Ninatabiri Rais Wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan atamchaguwa Mmojawapo kati ya hawa 4 Kuwa Makamu wake wa Rais.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.
Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha uamuzi wake wa kuachia nafasi hiyo.
Amesema uamuzi huo umefanywa kwa kuzingatia Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 149(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kujiuzulu kwake kutaanza rasmi Septemba 4, 2026.
Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa wakati alipomuahidi Rais Samia mwaka 2025 kuwa atamsaidia katika kutekeleza majukumu yake kwa uwezo na uaminifu wake wote, pia aliahidi kuwa angeachia nafasi hiyo siku ambayo Rais angeona anahitaji Makamu mwingine.
Amesema amefanya uamuzi huo pasipo shaka baada ya kubaini kuwa Rais anatarajia mabadiliko.
View attachment 3656524
Yani Lissu awe Rais wa Tanzania??,labda yaliyotokea Oct,29 yawe mara 3Sasa Nchimbi nenda kapambane Lissu atoke tukadai katiba mpya kwa pamoja ..
Alafu urudi chadema uwe makamu wa Raisi Lissu mwaka 3035 atakapokuwa Raisi wa Tanganyika ..
Acha tu NkamuMi nampenda huyu Baba, Angalau ukimuona unaona Nuru,
Nimeumia sana.
Aibu utaona wewe mwenyewe!Sikuhizi ukimiliki smartphone Tu unakuwa mchambuzi wa siasa....
Hii barua yako ya darasa la nne nenda nayo Facebook
Ila pia mbona mpaka sasa hakuna tamko jingine lolote lile toka kwa bosi wake au chama chake?Hatua moja mbele, walau sasa naweza kuona kuna uzito kwa Emmanuel sidhani kama alishatokea makamu wa rais akajiuzulu ila Nchimbi kwa hili nampa heko kama nilivyosema mwanzo.
Sasa ni muda wa kuyaeleza yale yote machafu aliyoyaona akiwa ndani [japo hawezi kutaja yote sababu ya kiapo cha kudumu].
Ila kwa kiasi fulani amejitenga na damu za October 29.
NB: Kwanini barua haina anwani pia?
Au ndio yale yale ya barua kama ya Ndugai.
Hao uliowataja wana nguvu kuliko vyombo vya Dola?Marehem Ndugai
Philip Mpango
Tulia Ackson
Ummy Mwalim
January Makamba
Emmanuel Nchimbi
Unagombana na hivvyo vichwa halafu unawategemea kina makonda, kweli huyu mama ni malaya