Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 14 Desemba

Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 14 Desemba

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 14 Desemba 2025. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mkoa wa Kagera, itakayofanyika tarehe 15 Desemba 2025.

IMG-20251214-WA0087.jpg
IMG-20251214-WA0084.jpg
 
Nchi haina Rais wala makamu wa Rais bali ni kikundi cha majamaa wenye uchu wa madaraka waliojidanganya kupora madaraka kwa kufanya uchafuzi.

Matumizi mabaya sana ya rasilimali za umma, imagine anasafiri masafa marefu kuweka jiwe la msingi tu?

Yaani amekosa kazi ya kufanya anakwenda kukata utepe na mkasi au kufungua kakitambaa? Serious?
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 14 Desemba 2025. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mkoa wa Kagera, itakayofanyika tarehe 15 Desemba 2025.

View attachment 3515528View attachment 3515530
Ni juzi tu kuna mhaya alikuwa analalamika mkoa wa kagera kutengwa kielemu
 
Hivi vitu vidogo vidogo kama mwamvuli hawawezi kujishikia wenyewe?
Ungeanza kuhoji kwa nini milango ya magari yao hufunguliwa na wengine?

Mkuu ogopa sana utukufu wa madaraka.

Ndiyo kukawa na msemo 'madaraka hulevya' ni pamoja na kutukuzwa kupita kiasi!
 
Back
Top Bottom