Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
Wamesikia kilio chakoKagera bado haina chuo chochote kinachotoa elimu ya juu ya kiwango cha degree.
Sio lazima umtambue WHO ARE YOU?Makamu wa rais wa nchi gani? Hatumtambui.
Ni juzi tu kuna mhaya alikuwa analalamika mkoa wa kagera kutengwa kielemuMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 14 Desemba 2025. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mkoa wa Kagera, itakayofanyika tarehe 15 Desemba 2025.
View attachment 3515528View attachment 3515530
Ungeanza kuhoji kwa nini milango ya magari yao hufunguliwa na wengine?Hivi vitu vidogo vidogo kama mwamvuli hawawezi kujishikia wenyewe?