Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Pole sana,unapitia wakati mgumuNi mwendo tu wa lockdown mpaka 2030! Akijitahidi kutoka, basi ni kwenda kuzunguzumza na vyombo vya dola vinavyomuweka mjini. Akija huku mtaani, ajiandae kurushiwa mawe na wazazi/ndugu wa wale marehemu wote alio waua.
Mimi, au yule anayejificha ndani na kulindwa masaa 24!Pole sana,unapitia wakati mgumu
Yule ala supu zake za mbuzi,pweza,changu chapati nzito na sharbatiMimi, au yule anayejificha ndani na kulindwa masaa 24!
Na anakuwa na amani kabisa, hata baada ya kuruhusu maelfu ya vijana kuuwawa na vikosi vyake vya mauaji!Yule ala supu zake za mbuzi,pweza,changu chapati nzito na sharbati
Mapinduzi yale yangefanikiwa na kumtia mikononi,wangemwacha hai?Na anakuwa na amani kabisa, hata baada ya kuruhusu maelfu ya vijana kuuwawa na vikosi vyake vya mauaji!
Yaani unamuua binadamu mwenzako, na bado unapata ujasiri kula na kushiba!! Nifikishie pongezi zangu kwake. Huyo mtu ana roho ngumu sana. Na kama ni wewe mwenyewe, basi hongera zako.
We ujapewa hata u-DcNdugu zangu Watanzania,
Makamu wa Rais Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi,Anatarajiwa Kumuwakilisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika Mkutano wa Dharura wa SADC.
Embu soma hapošMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwa njia ya mtandao.
Mkutano huo umeongozwa na Mwenyekiti wa mpito wa SADC ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa.
Mkutano huo umepitisha mapendekezo mbalimbali ikiwa ni juhudi ya kuimarisha hali ya amani na usalama katika Jamhuri ya Madagascar na kutoa wito wa mazungumzo ya kitaifa yatakayopelekea uchaguzi huru wa kidemokrasia nchini humo.
Pia, Mkutano huo umeipitisha Jamhuri ya Zambia kuwa Mwenyekiti Ajaye wa Mpito wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
Katika Mkutano huo, Makamu wa Rais ameambatana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Said Shaib Mussa.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3517037
Uwe na adabu na siyo kuropoka ropoka Hovyo kama lilevi la gongoBi. Muuaji ataendelea kutembelea kambi za jeshi tu
Anamalizia na MAYAI ya samaki ZERUZERU na kushushia na maji ya FIJI.Yule ala supu zake za mbuzi,pweza,changu chapati nzito na sharbati
Basi kumbe akina mafwele ni wa muhimu?akifika huko samia anakamatwa na maferwe wa ICC
Kama humfahamu bi. Muuaji, sema tukujulisheUwe na adabu na siyo kuropoka ropoka Hovyo kama lilevi la gongo
Bi. Muuaji ataendelea kutembelea kambi za jeshi tu
Ukiamini maneno ya yule changudoa kwamba maji ya kunywa hutoka USA utakua mpuuzi kuliko malayya wa kimbokaAnamalizia na MAYAI ya samaki ZERUZERU na kushushia na maji ya FIJI.
wale wa W H O A R E Y O U ?? jeangalau yeye (Nchimbi) anaweza kuongea kwa utulivu, kwa maana duh ...
Halafu unasema eri kipenzi cha watanzania? Waxenge tu nyie fakinUwe na adabu na siyo kuropoka ropoka Hovyo kama lilevi la gongo