Makamu wa Rais Dkt Emmanueli Nchimbi kumwakilisha Rais Samia mkutano wa dharura wa SADC

'Kipenzi cha watanzania'
Mbona sasa hao watanzania hawakujitokeza kwa wingi kwenda kumpigia kura tarehe 29 oct??
Yaani hata siku ya kuapishwa hakutaka hao watz washuhudie tukio hilo uwanjani kama ilivyo desturi zetu??.
Huyo ni rais haramu, hakuchaguliwa na watz walio wengi!.
Rais Samia ni kipenzi cha watanzania na ndio maana alipata ushindi wa kishindo wa 98% katika uchaguzi uliopita
 
Ndugu zangu Watanzania,

Makamu wa Rais Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi,Anatarajiwa Kumuwakilisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika Mkutano wa Dharura wa SADC.

Embu soma hapo👉Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwa njia ya mtandao.

Mkutano huo umeongozwa na Mwenyekiti wa mpito wa SADC ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa.

Mkutano huo umepitisha mapendekezo mbalimbali ikiwa ni juhudi ya kuimarisha hali ya amani na usalama katika Jamhuri ya Madagascar na kutoa wito wa mazungumzo ya kitaifa yatakayopelekea uchaguzi huru wa kidemokrasia nchini humo.

Pia, Mkutano huo umeipitisha Jamhuri ya Zambia kuwa Mwenyekiti Ajaye wa Mpito wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).

Katika Mkutano huo, Makamu wa Rais ameambatana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Said Shaib Mussa.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3517037
Kiherere cha jishangazi kusafiri kimeishia wapi hadi kugeuka wahudhuriaji wa Zoom meeting?
 
Kwa mauaji aliyoyafanya Samia ya kuua makumi ya maelfu ya Watanganyika hivi sasa hana ujasiri wa kuvuka mipaka ya nchi hii, ila ajue jinai tena ya mauaji ya halaiki haifi labda anywe sumu afe ndiyo salama yake.
 
Yule ala supu zake za mbuzi,pweza,changu chapati nzito na sharbati
Sasa hivi anafakamia K Vant kama hana akili nzuri kila akifumba macho anawaona Mzee Kibao, Mdude na Polepole na makaburi ya halaiki aliyozika Watanganyika wasiokuwa na hatia., hawezi kupata amani ya moyo hadi siku anafukiwa ardhini.
 
Asingenichambia TEC vile
 
Ndugu zangu Watanzania,

Makamu wa Rais Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi,Anatarajiwa Kumuwakilisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika Mkutano wa Dharura wa SADC.

Embu soma hapo👉Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwa njia ya mtandao.

Mkutano huo umeongozwa na Mwenyekiti wa mpito wa SADC ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa.

Mkutano huo umepitisha mapendekezo mbalimbali ikiwa ni juhudi ya kuimarisha hali ya amani na usalama katika Jamhuri ya Madagascar na kutoa wito wa mazungumzo ya kitaifa yatakayopelekea uchaguzi huru wa kidemokrasia nchini humo.

Pia, Mkutano huo umeipitisha Jamhuri ya Zambia kuwa Mwenyekiti Ajaye wa Mpito wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).

Katika Mkutano huo, Makamu wa Rais ameambatana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Said Shaib Mussa.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3517037
Raisi wako anatabu sana katupiga lock down sasa na yeye yamemfika labda aende China, Russia, North Korea, Venezuela, Belarus na nchi za kiarabu.
 
Bi. Muuaji ataendelea kutembelea kambi za jeshi tu
Na hawa ndiyo wapiga kura wake halisi sasa waliompa ushindi wa kishindo wa 97.66% ya kura zote milioni 32! Huku kwingine akikanyaga, basi ajiandae kwa chochote.
 
Ni mwendo tu wa lockdown mpaka 2030! Akijitahidi kutoka, basi ni kwenda kuzunguzumza na vyombo vya dola vinavyomuweka mjini. Akija huku mtaani, ajiandae kurushiwa mawe na wazazi/ndugu wa wale marehemu wote alio waua.
Hapana marehemu anakesha nao Kila siku
 
Ikiwa demu au mkaka akakukataa unavyojisikia vby vipi wananchi wakikutaa unavyojisikia%
Mama Abdul anajikiaje
 
Ndugu zangu Watanzania,

Makamu wa Rais Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi,Anatarajiwa Kumuwakilisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika Mkutano wa Dharura wa SADC.

Embu soma hapo👉Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwa njia ya mtandao.

Mkutano huo umeongozwa na Mwenyekiti wa mpito wa SADC ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa.

Mkutano huo umepitisha mapendekezo mbalimbali ikiwa ni juhudi ya kuimarisha hali ya amani na usalama katika Jamhuri ya Madagascar na kutoa wito wa mazungumzo ya kitaifa yatakayopelekea uchaguzi huru wa kidemokrasia nchini humo.

Pia, Mkutano huo umeipitisha Jamhuri ya Zambia kuwa Mwenyekiti Ajaye wa Mpito wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).

Katika Mkutano huo, Makamu wa Rais ameambatana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Said Shaib Mussa.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3517037
nakutakia Kila la kheri Dr.Emmanue Nchimbi, Makamu Wa Rais wa JMT :NoGodNo:
 
Tatizo lugha au passport yake imeisha?
 
Back
Top Bottom