Makamu wa Rais Dkt. Mpango amtembelea Mjane Janeth Magufuli

Makamu wa Rais Dkt. Mpango amtembelea Mjane Janeth Magufuli

Shadow7

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
24,606
Reaction score
39,289
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Mjane wa Hayati Dkt. John Magufuli Mama Janeth Magufuli wakati alipomtembelea Nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam leo Mei 08,2021. Katikati ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango.

Screen-Shot-2021-05-08-at-15.38.40.png


Screen-Shot-2021-05-08-at-15.38.52.png
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Mjane wa Hayati Dkt. John Magufuli Mama Janeth Magufuli wakati alipomtembelea Nyumbani kwake Masaki
Mzee Philip Mpango ni mtu mmoja muungwana sana. Uungwana wake sio wa maigizo kwa maana yupo hivyo miaka nenda rudi.
 
Back
Top Bottom