Makamu wa Rais, Dkt Mpango anasafiri kwenda Singapore leo Novemba 14

Makamu wa Rais, Dkt Mpango anasafiri kwenda Singapore leo Novemba 14

Anna Nkya

Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
69
Reaction score
341
Makamu wa Rais Dkt. @dr_philip_isdor_mpango leo 🗓Nov 14,2021 anatarajia kuondoka Nchini kuelekea Sentosa Island Nchini 🇸🇬Singapore kushiriki mkutano wa Jukwaa la Majadiliano ya Kiuchumi (Bloomberg New Economy Forum 2021 ), Wenye lengo la kujadili masuala mbalimbali ikiwemo muelekeo mpya wa kiuchumi baada ya athari za Uviko19.

Aidha Makamu wa Rais anatarajia kukutana na kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na Viongozi wa nchi mbalimbali, Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa.

Wafanyabiashara pamoja na Wakuu wa Taasisi mbalimbali kwa lengo la kuimarisha ushirikiano baina ya 🇹Tanzania na nchi hizo pamoja na Taasisi zao.Mkutano huo unatarajia kufanyika kuanzia Novemba 16 hadi November 19, 2021

mpango-pic-data.jpg
 
Nakutakia safari njema Mh. Mpango, nchi inaendeshwa kwa mipango makini na wala mtu huwezi kujifungia ndani eti kwa kisingizio cha kubana matumizi. Hiyo ni safari ya kikazi na yenye manufaa makubwa hapo baadaye kwa nchi yetu.

Natarajia hapo baadaye kuwa utatembelea nchi nyingine kama vile za Scandinavia, Amerika Kaskazini na Kusini, Umoja wa BRICS, Umoja wa Ulaya huku ukiambatana na ujumbe mzito wenye wataalamu mbalimbali ili wapate kujifunza mambo mbalimbali kutoka kwa wenzetu.
 
Makamu wa Rais Dkt. @dr_philip_isdor_mpango leo [emoji1001]Nov 14,2021 anatarajia kuondoka Nchini kuelekea Sentosa Island Nchini [emoji1215]Singapore kushiriki mkutano wa Jukwaa la Majadiliano ya Kiuchumi (Bloomberg New Economy Forum 2021 ), Wenye lengo la kujadili masuala mbalimbali ikiwemo muelekeo mpya wa kiuchumi baada ya athari za Uviko19.

Aidha Makamu wa Rais anatarajia kukutana na kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na Viongozi wa nchi mbalimbali, Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa
Wafanyabiashara pamoja na Wakuu wa Taasisi mbalimbali kwa lengo la kuimarisha ushirikiano baina ya 🇹Tanzania na nchi hizo pamoja na Taasisi zao.Mkutano huo unatarajia kufanyika kuanzia Novemba 16 hadi November 19, 2021

View attachment 2010128

Christopher Columbus wa karne hii[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom