PreGE2025 Makamu wa rais Dkt. Mpango: Asibakie hata mfanyakazi mmoja nyumbani, wote tukapige kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Wakati Taifa likingoja uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani utakaofanyika Oktoba mwaka huu, Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango amesema hatarajii kuona wafanyakazi wanabaki nyumbani siku itakapowadia.

Amesema wafanyakazi wana nguvu ya kuiweka Serikali madarakani hivyo wanapaswa kujiandikisha kisha kupiga kura ifikapo Oktoba.

Ameyasema hayo leo Alhamisi Mei 1, 2025 wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, yanayofanyikia kitaifa mkoani Singida ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Sherehe hiyo ina kaulimbiu isemayo “Uchaguzi Mkuu 2025 utuletee viongozi wanaojali haki na masilahi ya wafanyakazi sote tushiriki,” ikiwa ni ujumbe unaosisitiza kushiriki uchaguzi mkuu huo.

“Niwasihi sana wafanyakazi asibakie hata mmoja wa sekta ya umma au binafsi ambaye hatajiandikisha kwenye daftari la kudumu na siku ya uchaguzi asibakie hata mmoja nyumbani twende wote tukapige kura,” amesema.

Aidha mbali na nguvu ya kisiasa ameelezea nguvu ya wafanyakazi kiuchumi akisema utendaji wao unakuza uchumi nchini.

“Uchumi wa Tanzania umeimarika sana katika kipindi hiki ukilinganisha na nchi nyingine zinazolingana na sisi, hivyo pongezi za dhati kwa wafanyakazi wa Tanzania” amesema Dk Mpango.
 
View attachment 3321855
CCM ombeni Sana fr. Kitime apone.
Huyo siyo Kama Lissu mliyemkamata Kama kuku miampa kesi fake.
 
Kwa sasa akili masikio na macho ya watanzania ni kwenye kesi ya Lisu ndipo mengine yanafuata
 
Mpango angewaagiza wakurugenzi kuhakikisha kila mfanyakazi anaenda kupiga kura na anampa kura yake samia, watakaoshindwa kufanya hivyo, CCM itawafukuza kazi maana watakuwa wanaleta kiwingu kwa ule ushetani uliopangwa wa kutangaza Samia amepata kura 99.9%. Lazima watakapotangaza kura za uwongo angalao kuwepo na kisingizio kuwa kuna watu walionekana kituoni.
 
Wakati Taifa likingoja uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani utakaofanyika Oktoba mwaka huu, Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango amesema hatarajii kuona wafanyakazi wanabaki nyumbani siku itakapowadia.

Amesema wafanyakazi wana nguvu ya kuiweka Serikali madarakani hivyo wanapaswa kujiandikisha kisha kupiga kura ifikapo Oktoba.

Ameyasema hayo leo Alhamisi Mei 1, 2025 wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, yanayofanyikia kitaifa mkoani Singida ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Sherehe hiyo ina kaulimbiu isemayo “Uchaguzi Mkuu 2025 utuletee viongozi wanaojali haki na masilahi ya wafanyakazi sote tushiriki,” ikiwa ni ujumbe unaosisitiza kushiriki uchaguzi mkuu huo.

“Niwasihi sana wafanyakazi asibakie hata mmoja wa sekta ya umma au binafsi ambaye hatajiandikisha kwenye daftari la kudumu na siku ya uchaguzi asibakie hata mmoja nyumbani twende wote tukapige kura,” amesema.

Aidha mbali na nguvu ya kisiasa ameelezea nguvu ya wafanyakazi kiuchumi akisema utendaji wao unakuza uchumi nchini.

“Uchumi wa Tanzania umeimarika sana katika kipindi hiki ukilinganisha na nchi nyingine zinazolingana na sisi, hivyo pongezi za dhati kwa wafanyakazi wa Tanzania” amesema Dk Mpango.
View attachment 3321855
Si tuliambiwa kuwa mpiga kura haamui nani awe kiongozi isipokuwa anaehesabu kura na kutangaza matokeo
 
Ni kweli tutaenda kupiga kura kama alivyoshauri😁
Kupiga kura si hoja. Hoja ni kumchagua nani; na Philipo alikuwa mwangalifu sana kutobainisha hilo.

Sasa, kama wafanya kazi hao watakuwa kama maroboti tu ya kupiga kura za kuiumiza nchi kwa virushwa vya kuongezewa mshahara, hapo watastahili lawama zote.
Waende wakapige kura kama itawalazimu kufanya hivyo; lakini wawakatae viongozi waovu wanaotuuza kama bidhaa.
 
Wakati Taifa likingoja uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani utakaofanyika Oktoba mwaka huu, Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango amesema hatarajii kuona wafanyakazi wanabaki nyumbani siku itakapowadia.

Amesema wafanyakazi wana nguvu ya kuiweka Serikali madarakani hivyo wanapaswa kujiandikisha kisha kupiga kura ifikapo Oktoba.

Ameyasema hayo leo Alhamisi Mei 1, 2025 wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, yanayofanyikia kitaifa mkoani Singida ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Sherehe hiyo ina kaulimbiu isemayo “Uchaguzi Mkuu 2025 utuletee viongozi wanaojali haki na masilahi ya wafanyakazi sote tushiriki,” ikiwa ni ujumbe unaosisitiza kushiriki uchaguzi mkuu huo.

“Niwasihi sana wafanyakazi asibakie hata mmoja wa sekta ya umma au binafsi ambaye hatajiandikisha kwenye daftari la kudumu na siku ya uchaguzi asibakie hata mmoja nyumbani twende wote tukapige kura,” amesema.

Aidha mbali na nguvu ya kisiasa ameelezea nguvu ya wafanyakazi kiuchumi akisema utendaji wao unakuza uchumi nchini.

“Uchumi wa Tanzania umeimarika sana katika kipindi hiki ukilinganisha na nchi nyingine zinazolingana na sisi, hivyo pongezi za dhati kwa wafanyakazi wa Tanzania” amesema Dk Mpango.
View attachment 3321855
Kuna haja gani ya kupiga kura wakati kura haziheshimiwi?
Mifumo ya uchaguzi imejaa uzandiki tu
 
Mpango usiingie humo mtego wa mauaji ndio utawale....kwanza kanisa limenajisiwaaa.....hatukubaliii
 
Back
Top Bottom