Makamu wa Rais Dkt. Mpango awasili Comoro

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Prince Said Ibrahim uliopo Moroni nchini Comoro tarehe 25 Mei, 2024.

Makamu wa Rais anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uapisho wa Rais Mteule wa Comoro Azali Assoumani unaotarajiwa kufanyika tarehe 26 Mei, 2024. (Kulia ni Waziri wa Kilimo wa Comoro Mhe. Houmed Mssaidie na kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu.

 
Kama kuna mshenzi anakula pesa ya nchi bureeee kabisa, ni huyu kenge, hakuna cha maana anachokifanya, yupo pale only as the designated survivor/ptesident

anza kumzoea, ndiye ajaye 2025/35 or sooner …
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…