Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Prince Said Ibrahim uliopo Moroni nchini Comoro tarehe 25 Mei, 2024.
Makamu wa Rais anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uapisho wa Rais Mteule wa Comoro Azali Assoumani unaotarajiwa kufanyika tarehe 26 Mei, 2024. (Kulia ni Waziri wa Kilimo wa Comoro Mhe. Houmed Mssaidie na kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu.