Makamu wa Rais Dkt. Mpango ziara yako Manyara imeleta hasara na Usumbufu mkubwa kwa wananchi

Makamu wa Rais Dkt. Mpango ziara yako Manyara imeleta hasara na Usumbufu mkubwa kwa wananchi

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Najua umemaliza ziara Yako Mkoani Manyara,na Sasa upo Chato Kwa kaka yako.

Nachukua fursa hii kukipa taarifa jinsi ziara yako ilivyowatesa wananchi.

Nazungumzia namna Barabara zilivyofunga kipisha ujio wako na mapito yako.

Mkuu,nikufahamishe TU kuwa ,Leo Kila ulipokuwa unaeenda Barabara zilifunngwa kwa masaa 3 na zaidi.

Hii ilikuwa ni adha kubwa kwa watumiaji was barabara na bila shaka Leo utakuwa umelaaniwa' sana.

Mrano asubi kuqnzia saa 1.30 b@rabara zoye za kutoka na kuingia Babati ziliffungwa,Kwa muda usiopuingi masaa 2.

Hii inaa maanisha kuwa wagonjwa waliokuwa wana3nda Hospistali za Mkoa ,Wilaya na madika ya dawa hawakufika kwa wakati .Wafanya biashara waliokuwa wanaingia Babati ,mjini walikwama.

Kibwa kuliko no magari ya abiria yapatayo 20 yaliyoondoka Arushha kwenda Kanda ya ziwa,Singida ,Dodoma,Morrogoro na nyanda za juu Kjsini uotw yalikwama kwa masaa 3.

Huu si ungwana na ni ushaamba na ujinga.

Wakulima waliokuwa kqenyw shughuli zaa kilimo ktk blonde la Manyara kuqnzia KIru ,Magugu hadi Magara hakui Giza Wala kutoa Matrekta wala boda2 high way.

Huu ni uonevu na mipango mibovu.

Nilimsikia Hali hiii ilijirudia tena mida ya aadhuhuri hadi alasiri.

Nilimsikia Bodaboda mmoja akilaani viongozi Kwa kiwa amepoteza zaidi ya masaa 7 sikunzima bila kufanyq kazi.

Magari ya abiriaaleoyametumiamasaa 10 Hadi 12 kutoka Arusha - Dodoma

Viongozi acheni huu ushamba wa kiongozi apeqe Interval ya dakikia 20 tu apite maisha yaendelee
 
Pamoja na kwamba huna uandishi mzuri. Ila hata mimi huwa nashangaa hii tabia ya kufunga barabara muda Mrefu eti kusubiri kiongozi apite na ujuha wa hali ya juu. Mtu yuko madarakani kwa wizi wa kura, ila anataka asujudiwe.
 
Pamoja na kwamba huna uandishi mzuri. Ila hata mimi huwa nashangaa hii tabia ya kufunga barabara muda Mrefu eti kusubiri kiongozi apite na ujuha wa hali ya juu. Mtu yuko madarakani kwa wizi wa kura, ila anataka asujudiwe.
Unakuta kiongozi anapigia bao la asubuhi huku barabara zimeshafungwa.... hapo mpaka aoge, anywe chai na kuvaa suti... mtakoma rodini....
 
Ku comment huu uzi ni kusapoti Ujinga na Chuki binafsi!
 
Unakuta kiongozi anapigia bao la asubuhi huku barabara zimeshafungwa.... hapo mpaka aoge, anywe chai na kuvaa suti... mtakoma rodini....
Kaka Mkubwa umesemaaaa
Halafu wewe!
 
halafu pigia mahesabu faida ya huo usumbufu kwa ujumla, utaona ni yy nà wapambe wanaofaidika na imekuwa ni tabia sasa.

piga hesabu ya idadi ya magari ya kifahari, wapambe, mafuta, posho halafu tathmini alichokuja kufanya ndipo utajua hayo maendeleo wanayozungumzia yana sura gani! na ingekuwa afadhli kama hizi ziara za kifahari zingewahusu watu fulani tu, lakini wote... duh!
 
Uzi wa kipumbavu kabisa. Yaani MaCHADEMA kuanzia Mbowe aachiwe Kwa huruma yanahara tu hovyoooo
 
Haya Mambo ya kijinga yalikithiri Zama za Mungu wa chatto. Mbaya zaidi wananchi walikusanywa uli kumtukuza huyo mkuu.
Apumzike kwa Amani, tuache ushamba na kupotezeana muda.
 
Back
Top Bottom