19 November 2025
Lusaka, Zambia
Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi awasili Zambia
Kushiriki utiaji saini wa makubaliano ya ufufuaji wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania – Zambia (TAZARA)
Alipokelewa na Waziri wa Afya, Elijah Muchima, sambamba na Meya wa Lusaka Chilando Chitangala, Balozi wa Tanzania nchini Zambia, Ltuteni Jenerali Matthew Mkingule na viongozi wengine waandamizi wa serikali ya Zambia na Tanzania.
Dk Nchimbi anatarajiwa kushiriki utiaji saini wa makubaliano ya ufufuaji wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania – Zambia (TAZARA) unaotarajiwa kufanyika kesho mjini Lusaka.
Anatarajiwa kurejea Tanzania mara tu ratiba yake ya kazi itakapokamilika.
View: https://m.youtube.com/watch?v=TN6y0xGp8d8
Lusaka, Zambia
Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi awasili Zambia
Kushiriki utiaji saini wa makubaliano ya ufufuaji wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania – Zambia (TAZARA)
Makamu wa Rais wa Tanzania, John Nchimbi, amewasili nchini Zambia kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
Vyombo vya habari vinaripoti kuwa Dk Emmanuel Nchimbi aliwasili kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda, kwa ndege ya Air Tanzania.Alipokelewa na Waziri wa Afya, Elijah Muchima, sambamba na Meya wa Lusaka Chilando Chitangala, Balozi wa Tanzania nchini Zambia, Ltuteni Jenerali Matthew Mkingule na viongozi wengine waandamizi wa serikali ya Zambia na Tanzania.