Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Hili la rais yuko UK, makamu yuko NY kwa maoni yangu ni muendelezo wa lile tatizo la upangaji wa vipaumbele vyetu, baada ya kumuona Rais Samia amekwenda UK, then mimi nilimpangia ratiba hii Rais Samia kuhudhuria mazishi ya malikia Elizabeth II
Shughuli ya mazishi ya Malkia inaisha leo, kesho ilikuwa atoke UK na kutimba NY kama mwenzie Ruto. Unless ilikuwa ni mipango ya muda mrefu iliishapangwa VP atamuwakilisha UNGA, ratiba ya msiba ndio ikaingilia!.
Ila tukubali, tukatae, kwenye cost cutting za trips trips JPM alikuwa mzuri!, kwa umasikini wetu, we didn't have to send two different delegations to two separate events ambazo ziko just two days apart, one delegation would have been enough to cover both events.
P
Tozonia.