Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango awasili Marekani, Kushiriki Mkutano wa UNGA 77


Tozonia.
 
Kwa mbali kidogo Pasco arudi kwenye line
 
Rafiki yangu.... wewe jali maisha yako na familia yako. Ukiumiza kichwa kufikiria ya nchi hii utatuachia watoto yatima
Lazima niseme jamani. Kuhusu kufa nitakufa nikiona watoto wa vitukuu wangu.
 
Watasema una gubu la kuachwa kwenye kinyang'anyiro! Sina uhakika kama sivyo.
 
Yangu macho na maumivu ya maisha anyway kila mtu ashinde mechi zake tu
 
Mama anamfurahisha makamu wake aonekane anadelagate kazi. Bado akili zitatukaa sawa mpaka majira Kama haya mwakani wote tutaimba wimbo mmoja
 
Yupo waziri mkubwa
Yupo spika
Yupo jaji mkuu
Yupo mkuu wa majeshi
Kwa hiyo tuko alone?

Ingekuwa Haiti , wababe wangekuwa wameshatumia fursa.

Hii ni hatari, Rais hayupo na Makamu naye hayupo.
Nchi ipo salama.
 
U said it well.
 
Kwa hiyo tuko alone?

Ingekuwa Haiti , wababe wangekuwa wameshatumia fursa.

Hii ni hatari, Rais hayupo na Makamu naye hayupo.
Kwa wenye mawazo finyu kama yako ndio mnafikiria hivyo. Kwa nchi imara kama Tanzania chini ya CCM mambo yanakwenda sawa sawia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…