Makamu wa rais Emmanuel Nchimbi amezungumza mambo mazuri lakini swali Je, yeye si sehemu ya Suluhu?

Makamu wa rais Emmanuel Nchimbi amezungumza mambo mazuri lakini swali Je, yeye si sehemu ya Suluhu?

Joined
Jul 15, 2026
Posts
64
Reaction score
187
Mh makamu wa rais leo amezungumza mambo mengi sana mazuri ambayo watu wengi wamempongeza kwa kusema ukweli na kutetea wanyonge mfano

Katiba mpya

Kuishi bila hofu
Umuhimu wa kuheshimu haki za binadamu nk

Lakini ni kama na yeye analalamika au anadai vitu alivyovitaja ,

Je yeye sio sehemu ya watu wanaotakiwa kuja na majibu au suluhu ya matatizo aliyoyataja mfano kuheshimu haki za binadamu,katiba mpya na kufanya watanzania waishi bila hofu?
 
Danganyikeni. Anasema kiuaji Samia kina hamu sana ya kuleta katiba mpya halafu hapo hapo anasema wananchi wapiganie... Kama hiki kibibi kina hiyo nia, kwa nini kinasubiri tena kisukumwe? Kama huamini basi tumia jina lako halisi, kosoa utakeji kama wiki ijayo utakuwa na sisi.
 
Anayo nafasi ya kusema tuanze kwanini anaogopa kutamka?
Sasa yeye atatamkaje hivo maana yeye yumo ndani ya katiba nyie mnaoona katiba imewatupa mkono ndo anasema mpambane muipate🤣🤣
Wanasiasa banah wanajua kupuliza.
 
Ukiingia kwenye mfumo unanaswa kwenye mtego.....
Aliyetega mtego anakuja pembeni yako mnaanza kufanya kazi ya kutegua...
Sasa ipo atakusukuma kwenye huo mtego hutaamini
Utakapoamka Kwisha wewe
 
Back
Top Bottom