Sprouts pre School
Member
- Jul 15, 2026
- 64
- 187
Danganyikeni. Anasema kiuaji Samia kina hamu sana ya kuleta katiba mpya halafu hapo hapo anasema wananchi wapiganie... Kama hiki kibibi kina hiyo nia, kwa nini kinasubiri tena kisukumwe? Kama huamini basi tumia jina lako halisi, kosoa utakeji kama wiki ijayo utakuwa na sisi.Mh makamu wa rais leo amezungumza mambo mengi sana mazuri ambayo watu wengi wamempongeza kwa kusema ukweli na kutetea wanyonge mfano
Katiba mpya
Kuishi bila hofu
Umuhimu wa kuheshimu haki za binadamu nk
Lakini ni kama na yeye analalamika au anadai vitu alivyovitaja ,
Je yeye sio sehemu ya watu wanaotakiwa kuja na majibu au suluhu ya matatizo aliyoyataja mfano kuheshimu haki za binadamu,katiba mpya na kufanya watanzania waishi bila hofu?
Sasa yeye atatamkaje hivo maana yeye yumo ndani ya katiba nyie mnaoona katiba imewatupa mkono ndo anasema mpambane muipateš¤£š¤£Anayo nafasi ya kusema tuanze kwanini anaogopa kutamka?