mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Sina taarifa za Marais wa nyuma kuwa walikuwa wanashabikia timu ipi, ila najua Nyerere alikuwa Yanga, Kikwete alikuwa Yanga, Magufuli na Samia ni Simba.
Ila usingewasikia wakitamka kuwa upande wowote, Kikwete baada ya kustaafu ndio alijitokeza hadharani kwenye mkutano Diamond Jubilee na kuwaambia Yanga wamepoa sana, wabaridiiii wachangamke, ndio kisa cha GSM kupewa ruksa na Kikwete kuwekeza zaidi Yanga.
Magufuli japo hakuwa mnafiki ila alidiriki kushona jezi nusu Simba nusu Yanga alijua sababu.
Samia jana kasema yuko katikati, hiyo ndio siasa. Nadhani Philip Mpango hajui yeye ni nani, lolote baya likimpata Rais Samia Philip Mpango ndio Rais, siombei na haitotokea kamwe.
Nadhani ni kwa sababu aneingia kwenye Siasa uzeeni. Amechemsha, aambiwe ukweli.
Mwenzake Majaliwa alichenga Simba Day pamoja na kupewa mwaliko hakuwa mjinga. 2025 sio mbali tutaona wanasiasa kesho atasema yeye Simba, keshokutwa atasema yeye Yanga au hana timu