Makamu wa Rais hakutumia busara kujitangaza kuwa yeye ni shabiki wa Yanga

Huna hoja. Hawezi kosa kura kwa kuwa ni Simba au Yanga. Nimeshuhudia kampeni za uchaguzi toka Mwinyi mpaka leo sijawahi ona watu wakitumia ushabiki wa mpira kupiga kura. Na hata ingekuwa hivyo huo ni upuuzi wa wapuuzi. Mpira ni burudani tu ni kama kunywa tusker wakati wenzio wanatumia kilimanjaro.
Kura zipi kwani ccm hutegemea kura,naongelea ile fatherhood kwamba Rais ni mlezi na kimbilio la timu zote oazima ziwe na imani nae ikitokea zinahitaji msaada waserikali😇una kichwa kizito sana kuelewa
 
Inajulikana hata kabla hajatangaza, unafikiri Mwigulu akiwa makamu ataacha kushabikia Yanga?
FYI waziri mkuu wa Uingereza ni shabiki lialia wa Arsenal
 
Humu Kuna vitoto vijinga halafu vinaona vinajua balaa. Tulia Simba, Tarimba Yanga, Kassim Majaaliwa Simba, Zitto Simba... Haya atwambie kujulikana kwao kumewaathiri vipi kisiasa.
Kuna Rais hapo,hao ni watu wadogo sana ,makarani tu hao hawana impact,Rais ni father au mzazi/mlezi wa taasis zote hatakiwi kuonyesha mahaba ya wazi,una kichwa kigumu na hujui siasa nyamaza tu kilaza wewe
 
Kura zipi kwani ccm hutegemea kura,naongelea ile fatherhood kwamba Rais ni mlezi na kimbilio la timu zote oazima ziwe na imani nae ikitokea zinahitaji msaada waserikali😇una kichwa kizito sana kuelewa
Serikali ndiyo TFF. Unahubiri hoja mfu. Karia ni Simba na anajulikana na juzi tuzo nyingi zimeenda kwa Yanga. Dunia inahama kwenye unafiki wewe unasisitiza unafiki. "Siri tunaweka wazi, bayana tunaficha" Mrisho Mpoto
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Kikwete ni Yanga tangu zamani na Majaliwa ni Simba!
Kikwete ni yanga ila akiwa Rais hakuwai kujionyesha waziwazi,sio mjinga,anajua athari zake kisiasa yule mtoto wa mjini
 
Sasa walijulikanaje kuwa ni Yanga bila kujiweka wazi.. Au ulienda kupeleleza ikulu? Kassim kila siku bungeni anataniana na wenzie vipi Huwa unakwazika na Hilo?
 
Sina taarifa za Marais wa nyuma kuwa walikuwa wanashabikia timu ipi, ila najua Nyerere alikuwa Yanga, Kikwete alikuwa Yanga, Magufuli na Samia ni Simba.

Ila usingewasikia wakitamka kuwa upande wowote, Kikwete baada ya kustaafu ndio alijitokeza hadharani kwenye mkutano Diamond Jubilee na kuwaambia Yanga wamepoa sana, wabaridiiii wachangamke, ndio kisa cha GSM kupewa ruksa na Kikwete kuwekeza zaidi Yanga.

Magufuli japo hakuwa mnafiki ila alidiriki kushona jezi nusu Simba nusu Yanga alijua sababu.

Samia jana kasema yuko katikati, hiyo ndio siasa. Nadhani Philip Mpango hajui yeye ni nani, lolote baya likimpata Rais Samia Philip Mpango ndio Rais, siombei na haitotokea kamwe.

Nadhani ni kwa sababu aneingia kwenye Siasa uzeeni. Amechemsha, aambiwe ukweli.

Mwenzake Majaliwa alichenga Simba Day pamoja na kupewa mwaliko hakuwa mjinga. 2025 sio mbali tutaona wanasiasa kesho atasema yeye Simba, keshokutwa atasema yeye Yanga au hana timu

Ni maajabu kama utashindwa kumchagua mtu kisa ni shabiki wa team fulani.
 
Serikali ndiyo TFF. Unahubiri hoja mfu. Karia ni Simba na anajulikana na juzi tuzo nyingi zimeenda kwa Yanga. Dunia inahama kwenye unafiki wewe unasisitiza unafiki. "Siri tunaweka wazi, bayana tunaficha" Mrisho Mpoto
Karia ni takataka tu nsongelea president wa nchi,nipo kisiasa zaidi
 
Mnakuza mambo sana,mbona kawaidaa tu mambo Binafsi hayo na ndio alama ya utanzaniaa bwana,ukiwa Simba au Yanga tayari wewe ni Mtanzania OG. Kwanini ajibanebane ndani ya nchi yake kwa jambo lisilovunja Sheria na linampa furaha. Mimi ni Simba sioni nooma mzee humble sana yulee.
 
Anaokoteza hoja. Wachangiaji karibu wote wanamueleza lkn anaona hawana ufahamu ila yeye tu. Mtu akayeshindwa kuniamini kwa kuwa tunashabikia timu tofauti huyo ni kilaza.
 
Sina taarifa za Marais wa nyuma kuwa walikuwa wanashabikia timu ipi, ila najua Nyerere alikuwa Yanga, Kikwete alikuwa Yanga, Magufuli na Samia ni Simba.

Ila usingewasikia wakitamka kuwa upande wowote, Kikwete baada ya kustaafu ndio alijitokeza hadharani kwenye mkutano Diamond Jubilee na kuwaambia Yanga wamepoa sana, wabaridiiii wachangamke, ndio kisa cha GSM kupewa ruksa na Kikwete kuwekeza zaidi Yanga.

Magufuli japo hakuwa mnafiki ila alidiriki kushona jezi nusu Simba nusu Yanga alijua sababu.

Samia jana kasema yuko katikati, hiyo ndio siasa. Nadhani Philip Mpango hajui yeye ni nani, lolote baya likimpata Rais Samia Philip Mpango ndio Rais, siombei na haitotokea kamwe.

Nadhani ni kwa sababu aneingia kwenye Siasa uzeeni. Amechemsha, aambiwe ukweli.

Mwenzake Majaliwa alichenga Simba Day pamoja na kupewa mwaliko hakuwa mjinga. 2025 sio mbali tutaona wanasiasa kesho atasema yeye Simba, keshokutwa atasema yeye Yanga au hana timu

kwanini wakati ni yanga damdam,hilo ni jambo binafsi
 
Kabisa mimi jana nilizima TV baada ya VP kutamka SGR badala ya AVR,
AVR ndio nini boss? Pia watanzania tuache upuuzi sasa rais akitamka yeye ni timu fulani shida iko wapi?
 
Wanasiasa wanafahamika timu zao. Ukiona wale ambao unasubir mpaka waseme ujue hao socks ni ziada Tu kwao.

1. Mwigulu ni Yanga , akiwa Rais utasubir aseme?
2. Mavunde Yanga
3. Majaaliwa Simba
4. Tulia Ackson Simba
5. Mkuchika Yanga
6. Kigwa Simba
7. Simbachawene Simba
8. Mwinyi Sir and Jr si watu wa mpira
9. Magufuli hakuwa mtu WA Mpira
10. Samia Yanga
11. Kikwete Yanga

Bungeni huchezwa mechi baina ya Wabunge wa Yanga na wa Simba
 
Kikwete ni yanga ila akiwa Rais hakuwai kujionyesha waziwazi,sio mjinga,anajua athari zake kisiasa yule mtoto wa mjini
Athari gani wewe acha ufala, hao ccm maisha yao yote hawajawahi tegemea sanduku la kura kupata ushindi
 
Back
Top Bottom