Astaghfirullah,Dini hata usiposema tutajua tu,ile ni imani,imani haina usiri,
Simba na Yanga zina nguvu kuliko dini kwa hapa nchini,kisiasa ni kosa na tubaelekea pabaya,maana wanasiasa wameanza kutumia simba na yanga kutupumbaza
Tatizo ni wewe unayechukulia usimba na uyanga kama uadui.Sina taarifa za Marais wa nyuma kuwa walikuwa wanashabikia timu ipi, ila najua Nyerere alikuwa Yanga, Kikwete alikuwa Yanga, Magufuli na Samia ni Simba.
Ila usingewasikia wakitamka kuwa upande wowote, Kikwete baada ya kustaafu ndio alijitokeza hadharani kwenye mkutano Diamond Jubilee na kuwaambia Yanga wamepoa sana, wabaridiiii wachangamke, ndio kisa cha GSM kupewa ruksa na Kikwete kuwekeza zaidi Yanga.
Magufuli japo hakuwa mnafiki ila alidiriki kushona jezi nusu Simba nusu Yanga alijua sababu.
Samia jana kasema yuko katikati, hiyo ndio siasa. Nadhani Philip Mpango hajui yeye ni nani, lolote baya likimpata Rais Samia Philip Mpango ndio Rais, siombei na haitotokea kamwe.
Nadhani ni kwa sababu aneingia kwenye Siasa uzeeni. Amechemsha, aambiwe ukweli.
Mwenzake Majaliwa alichenga Simba Day pamoja na kupewa mwaliko hakuwa mjinga. 2025 sio mbali tutaona wanasiasa kesho atasema yeye Simba, keshokutwa atasema yeye Yanga au hana timu
Kama hauna D mbili huwezi kuelewa,hakuna Rais Tanzania aliyewahi kusema yuko timu gani,wanajua madhara yake kisiasaTatizo ni wewe unayechukulia usimba na uyanga kama uadui.
Kuna watu ni Yanga lakini wazazi ni simba, vipi hao, wawe wanapigana?
Je kiongozi akisema yeye ni shabiki wa Timu fulani, maana yake anaipendelea hiyo timu?
Vipi kwa Kagame ambaye ni shabiki wa Arsenal? Maana yake mashabiki wa timu zingine za EPL wamuone Kagame kama adui?
Tatizo ni wewe unayechukulia usimba na uyanga kama uadui.Sina taarifa za Marais wa nyuma kuwa walikuwa wanashabikia timu ipi, ila najua Nyerere alikuwa Yanga, Kikwete alikuwa Yanga, Magufuli na Samia ni Simba.
Ila usingewasikia wakitamka kuwa upande wowote, Kikwete baada ya kustaafu ndio alijitokeza hadharani kwenye mkutano Diamond Jubilee na kuwaambia Yanga wamepoa sana, wabaridiiii wachangamke, ndio kisa cha GSM kupewa ruksa na Kikwete kuwekeza zaidi Yanga.
Magufuli japo hakuwa mnafiki ila alidiriki kushona jezi nusu Simba nusu Yanga alijua sababu.
Samia jana kasema yuko katikati, hiyo ndio siasa. Nadhani Philip Mpango hajui yeye ni nani, lolote baya likimpata Rais Samia Philip Mpango ndio Rais, siombei na haitotokea kamwe.
Nadhani ni kwa sababu aneingia kwenye Siasa uzeeni. Amechemsha, aambiwe ukweli.
Mwenzake Majaliwa alichenga Simba Day pamoja na kupewa mwaliko hakuwa mjinga. 2025 sio mbali tutaona wanasiasa kesho atasema yeye Simba, keshokutwa atasema yeye Yanga au hana timu
Umetanguliza ushabiki kuliko uhalisia. Hivi unategemea siku Mwiguru au Kigwangala wawe maraisi watashindwa kuonyesha timu wanayoshabikia?Sina taarifa za Marais wa nyuma kuwa walikuwa wanashabikia timu ipi, ila najua Nyerere alikuwa Yanga, Kikwete alikuwa Yanga, Magufuli na Samia ni Simba.
Ila usingewasikia wakitamka kuwa upande wowote, Kikwete baada ya kustaafu ndio alijitokeza hadharani kwenye mkutano Diamond Jubilee na kuwaambia Yanga wamepoa sana, wabaridiiii wachangamke, ndio kisa cha GSM kupewa ruksa na Kikwete kuwekeza zaidi Yanga.
Magufuli japo hakuwa mnafiki ila alidiriki kushona jezi nusu Simba nusu Yanga alijua sababu.
Samia jana kasema yuko katikati, hiyo ndio siasa. Nadhani Philip Mpango hajui yeye ni nani, lolote baya likimpata Rais Samia Philip Mpango ndio Rais, siombei na haitotokea kamwe.
Nadhani ni kwa sababu aneingia kwenye Siasa uzeeni. Amechemsha, aambiwe ukweli.
Mwenzake Majaliwa alichenga Simba Day pamoja na kupewa mwaliko hakuwa mjinga. 2025 sio mbali tutaona wanasiasa kesho atasema yeye Simba, keshokutwa atasema yeye Yanga au hana timu
Hawatadeclare trust me watacheza na maneno,huwajui wanasiasaUmetanguliza ushabiki kuliko uhalisia. Hivi unategemea siku Mwiguru au Kigwangala wawe maraisi watashindwa kuonyesha timu wanayoshabikia?
Makamu wa Rais mara kadhaa amejionyesha wazi kuwa ni shabiki wa Yanga. Wakati wa kumuaga Waziri mkuu alikuwa anaaga kwa kutumia style ya Mayele.
Mpango anajulikana ni Yanga hajaanza siku ya wananchi kujitambulisha..nahisi Dr.Mpango amevamia tu masuala ya mpira wa miguu.
..angekuwa na timu angeshajulikana kusingekuwa na haja ya yeye kujitambulisha.
..hakuna ubaya kwa mwanasiasa au kiongozi kuwa mshabiki wa Simba, au Yanga. Ni suala binafsi.
..mgogoro unaanza pale kiongozi wa serikali, au chama, anapojaribu kufungamanisha ushabiki wa Yanga, au Simba, na masuala ya kampeni za uchaguzi.
AVR????Kabisa mimi jana nilizima TV baada ya VP kutamka SGR badala ya AVR,
Kadi ya kulazimisha ile kunogesha amapiano tuNa ile kadi aliyopewa ilikuwa ya clinic?
Toka akiwa waziri wa fedha alishasema yeye ni Yanga sasa kuna jipya lipi makamu yupo sawa hana unafikiWenzake sio wajinga ambao hawasemagi hadharani,ameingia kwenye siasa hana hata miaka 15,aulize wenzake
Fatilia akiwa waziri wa fedha alivyokuwa anataniana na waziri mkuu Yanga ikishinda halafu uje useme hivi tena..nahisi Dr.Mpango amevamia tu masuala ya mpira wa miguu.
..angekuwa na timu angeshajulikana kusingekuwa na haja ya yeye kujitambulisha.
..hakuna ubaya kwa mwanasiasa au kiongozi kuwa mshabiki wa Simba, au Yanga. Ni suala binafsi.
..mgogoro unaanza pale kiongozi wa serikali, au chama, anapojaribu kufungamanisha ushabiki wa Yanga, au Simba, na masuala ya kampeni za uchaguzi.
Huna hoja. Hawezi kosa kura kwa kuwa ni Simba au Yanga. Nimeshuhudia kampeni za uchaguzi toka Mwinyi mpaka leo sijawahi ona watu wakitumia ushabiki wa mpira kupiga kura. Na hata ingekuwa hivyo huo ni upuuzi wa wapuuzi. Mpira ni burudani tu ni kama kunywa tusker wakati wenzio wanatumia kilimanjaro.Kisiasa sio nzuri,ni kwa faida yake tu
Humu Kuna vitoto vijinga halafu vinaona vinajua balaa. Tulia Simba, Tarimba Yanga, Kassim Majaaliwa Simba, Zitto Simba... Haya atwambie kujulikana kwao kumewaathiri vipi kisiasa.Fatilia akiwa waziri wa fedha alivyokuwa anataniana na waziri mkuu Yanga ikishinda halafu uje useme hivi tena
Kikwete ni Yanga tangu zamani na Majaliwa ni Simba!Sina taarifa za Marais wa nyuma kuwa walikuwa wanashabikia timu ipi, ila najua Nyerere alikuwa Yanga, Kikwete alikuwa Yanga, Magufuli na Samia ni Simba.