chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 13,277
- 40,924
Hivi unajua Tanzania inahudumia Tani ngapi za dagaa Malawi, Zambia, Congo, Rwanda, Burundi, Kenya kwenye viwandani tu za kutengenezea chakula cha Mifugo na majumbani???Naona upo nyuma sana kwenye haya masuala na ndio maana kumbe unabisha ovyo kwa kila hoja, nenda tena utafute takwimu za uvuvi wa samaki baina ya Kenya na Tanzania kwenye ziwa Victoria, wacha habari za kijiwe za dagaa.
Acha samaki kwenye hizo nchi zote jiji la Mwanza na Kanda ya ziwa 75% wanategemea lake victoria alafu unasema mmetupita kwenye matumizi ya ziwa Victoria watu mnaomiliki 6% mnawapita wanaomiliki 50% aise hata kama maji yanatumika tu kuogea hatuwezi lingana.
Sijaongelea project kubwa ya kusambaza maji ya victoria Shinyanga major done project eastern and Central Africa.
Pathetic.