Makamu wa Rais Kenya William Ruto Azuiliwa Kusafiri Kwenda Uganda

Nasikia ni CS matiangi kapewa order na mkulu Uhuru mzee alimfundisha sonko kuvuta sigara kubwa.
 
Makamu Rais wa Kenya William Ruto amezuiliwa kusafiri kwenda Uganda kwa ziara binafsi
Ruto na ujumbe wake ulizuiliwa katika uwanja wa ndege Wilson Airport leo. Haijulikani mpaka sasa sababu ya kuzuuliwa kwake.
Matunda ya katiba mpyaa hayoo..
Hongera zao kwa kupata katiba bouraaaa
 
M7 support is the fountain of all, pande ya Raila kwa M7 ni zero kbsa.
 
Makamu Rais wa Kenya William Ruto amezuiliwa kusafiri kwenda Uganda kwa ziara binafsi
Ruto na ujumbe wake ulizuiliwa katika uwanja wa ndege Wilson Airport leo. Haijulikani mpaka sasa sababu ya kuzuuliwa kwake.
Aisee,kuna mjumbe fukani kala marisasi kumi na sita.Juzi juzi tuu ole sabaya kamriwa kukushuma. Maana yake nini?
Nchi ya amani, uzezeta is your downful
 
Ruto alikuwa anatakiwa kupewa kibali na Mkuu wa Utumishi wa Umma kabla ya kuruhusiwa kwenda Uganda.
 
Hivi Ruto & Uhuru walikosana nini hizi siku za karibuni,mbona the Hague walienda wote sasa kwa nini wanataka kuachiana njiani kiasi hiki ama sababu za hii mambo ya BBI
 
Sisi wakenya pia twajiuliza hilo swali, lakini gumzo mtaani ni kwamba ruto alikuwa anapanga njama ya kumimpeach rais kupitia bunge kwa sababu katika chama cha jubilee kunavibaraka wengi wa ruto humo ndani.

Stori ni ndefu aisee lakini huo ndio uhondo.
 
Makamu Rais wa Kenya William Ruto amezuiliwa kusafiri kwenda Uganda kwa ziara binafsi
Ruto na ujumbe wake ulizuiliwa katika uwanja wa ndege Wilson Airport leo. Haijulikani mpaka sasa sababu ya kuzuuliwa kwake.
Kenya hakuna Makamu wa Rais..kuna Naibu wa Rais.
 
Back
Top Bottom