Makamu wa Rais Kenya William Ruto Azuiliwa Kusafiri Kwenda Uganda

Makamu wa Rais Kenya William Ruto Azuiliwa Kusafiri Kwenda Uganda

Itakuwa katiba yao ina kifungu hicho,
Kenya inatawaliwa na koo 2 tu
Kenyatta family
Kalamajong Odinga
Na hizi koo ndio zina miliki maliasili ya kenya kwa % kubwa. Labda na wazungu
Kifupi raia wa kenya wako Utumwani
Pivu rukhusa
tumegundua kwa intelijinsia yetu anaweza pata covid 19,abaki nyumbani
 
Nifafanulie tofauti ya Makamu na Naibu
Huu ndiyo utofauti wao(kwa mujibu wa Katiba ya Kenya ya mwaka 2010).

-Vice President appointed by the President,
-The Deputy President is elected as part of a joint ticket elected with the President.

(Ndiyo maana Rutto haitwi Makamu wa Rais ila anaitwa Naibu wa Rais).
 
Back
Top Bottom