Bowie JF-Expert Member Joined Sep 17, 2016 Posts 4,373 Reaction score 6,084 Aug 5, 2021 Thread starter #21 Choo Cha Kulipia said: Kenya hakuna Makamu wa Rais..kuna Naibu wa Rais. Click to expand... Nifafanulie tofauti ya Makamu na Naibu
Choo Cha Kulipia said: Kenya hakuna Makamu wa Rais..kuna Naibu wa Rais. Click to expand... Nifafanulie tofauti ya Makamu na Naibu
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Aug 5, 2021 #22 Omulasil said: Itakuwa katiba yao ina kifungu hicho, Kenya inatawaliwa na koo 2 tu Kenyatta family Kalamajong Odinga Na hizi koo ndio zina miliki maliasili ya kenya kwa % kubwa. Labda na wazungu Kifupi raia wa kenya wako Utumwani Pivu rukhusa Click to expand... tumegundua kwa intelijinsia yetu anaweza pata covid 19,abaki nyumbani
Omulasil said: Itakuwa katiba yao ina kifungu hicho, Kenya inatawaliwa na koo 2 tu Kenyatta family Kalamajong Odinga Na hizi koo ndio zina miliki maliasili ya kenya kwa % kubwa. Labda na wazungu Kifupi raia wa kenya wako Utumwani Pivu rukhusa Click to expand... tumegundua kwa intelijinsia yetu anaweza pata covid 19,abaki nyumbani
Bia Ya Moto JF-Expert Member Joined Aug 2, 2021 Posts 1,227 Reaction score 2,816 Aug 5, 2021 #23 Bowie said: Nifafanulie tofauti ya Makamu na Naibu Click to expand... Huu ndiyo utofauti wao(kwa mujibu wa Katiba ya Kenya ya mwaka 2010). -Vice President appointed by the President, -The Deputy President is elected as part of a joint ticket elected with the President. (Ndiyo maana Rutto haitwi Makamu wa Rais ila anaitwa Naibu wa Rais).
Bowie said: Nifafanulie tofauti ya Makamu na Naibu Click to expand... Huu ndiyo utofauti wao(kwa mujibu wa Katiba ya Kenya ya mwaka 2010). -Vice President appointed by the President, -The Deputy President is elected as part of a joint ticket elected with the President. (Ndiyo maana Rutto haitwi Makamu wa Rais ila anaitwa Naibu wa Rais).